Zaidi ya michosho! Huu ni upuuzi. Jide ulichukua mume wa wenyewe sasa unalilia nini? Malipo ni hapa hapa duniani!. Eti kuomba msamaha for what? Acheni ujinga!Mambo mengine michosho na vichekesho tupu
kumbe asa vita itaendeleaje hapo mzee mwenzanguKuna vitu vingine kampuni za uwakili ziwe vinawashauri wateja wake kuachana navyo kulinda jina la kampuni maana ni vya kukomoana tu najua Vita ya JD Na mawingu itaendelea kupitia G
tunahitaji maneno ya hekima kama hayaGadner kama unatusoma au kuna watu watasoma humu mna mawasiliano wakuambie uachana kabisa na huu upuuzi wa jidy, she wont stop until you are finished. Kama angekuwa mungu its obvious angekunyima breath! anachotaka hapo mshindane kutoa pesa kwa mawakili bila shaka akutoe kabisa kwenye reli yako! believe or not its a game with a full budget. inavyoonyesha alikuacha kwa media huko rohoni ana hali mbaya bado anakutaka, anajidai ana furaha ambayo hana. wanaojiita mashabiki wake wako very narrow minded, wanataka wewe tu uwe gunia la mchanga la mazoezi ya ngumi.
siku zote anaamini pesa ina value kuliko utu wa mtu, kwani kuzaliwa mwanaume ni dhambi kutokuwa na hela kama mwanamke! kwani kuna wanawake wangapi wanafadhili game na waume zao lakini utadhani mfadhili ni mwanaume anavyoheshimiwa! man will always be a man. kama kuna wa kumuomba msamaha gadner ni muumba wako sio hiki kibibi kinachotaka ukipigie magoti after everything ili kikutungie nyimbo tena ukiwa umepiga magoti, hahaha. akuache ufanye yako bana, kina roho mbaya kama sura yake, alaaa. kama vipi toa namba au account tupitishe donei uweke mawakili wakukutetea huko mahakamani. mbele kwa mbele
utanyoosha wangapi?mim ningekuwa JIDE ningemnyoosha angeeenda kuweka ile Gari Bondi kudadek si anataka tuonyeshane 🙂🙂🙂🙂🙂
sijaelewa hapo mzee mwenzangu kukojoa hewani kukojeHuyu dada kila album yake inapokaribia lazima kunakua na court orders, summons and "play a victim" situation.... Nilimsapoti all her previous albums na drama zake but I think this is it
Ukisikiliza lyrics zake hasa za ndi ndi ndi, it is clear kabisa she is directing attack kwa nani, na tena anaita watu vichaa, then kwenye media anasema jamaa anakojoa hewa, then bado anataka apologies.... I think ana kalaana fulani ka vita vita
SAMAHANI MZEE MWENZANGU KAMA SIJAKUELEWA VILESehemu kubwa ya magomvj ya sisi Watanzania husababishwa na kitu kimoja tu, ambacho ni ugumu wa kusema neno SAMAHANI.
Hata sijui kwanini tunakuwa hivi? Hata humu JFkuna shida hiyo, mtu yuko radhi msiongee tena, ili tu akwepe kusema SAMAHANI.
Iko wazi kuwa Jide ana kazi ngumu katika hii kesi, kwa sababu Gadner hakumtaja kwa jina, hivyo kuna shughuli ya kujithibitisha kama ni yeye aliyezungumzwa.
Sasa kwanini wafike huku kote? Wakati Gadner anajua kama pale alimzungumzia Jide? Ugumu kusema neno SAMAHANI tu?
Sijui tunatengeneza jamii ya aina gani? Hasa humu kwenye mitandao, kila mtu anajifunza kuwa kiburi na kuonesha umwamba kwa mwenzie?
Hakuna tena kupingana kwa hoja, ila kutukanana na kudhalilishana tu. Tena wengi wa watu wa hivi hawana hata muda wa kujiongeza.
Hasomi vitabu na wala hajiongezi kielimu, ila yeye yuko hapa kukera watu hasa wanaoonekana wana heshima na kuaminiwa. Na hata wakijua wamewakosea hawataki kusema SAMAHANI.
Ova
Aliwahi kuoa kabisa na kumwacha mke wa kwanzaGadner anaye mtoto mkubwa tu na nadhan alimjaza mimba demu mwingine karibuni nilimuona na bint mjamzito viwanja,hiyo statement yako labda vice versa is true
WordMimi katika maisha yangu.
Sishindani na mwanamke wa namna yeyote yule.
Dada yangu, jirani yangu,mpenzi wangu, mke wangu, niliosoma naye au mfanyakazi mwenzangu.
Hapo gadner atachezewa mpaka akione cha mtema kuni
Mwanamke atatumia pesa pengine hata gusa account yake
Gadner atatumia pesa yake iliyopo kwenye account
Ajifanye mjinga tu, awe shujaa. samahani nilikengeuka kusema yale maneno
Yaani mm ndo ninacho shangaa, kwani kamtaja jina?? Labda alikua anamuongelea mchepuko wake jee,mhhh ujinga mtupu ss akiombwa msamaha ndo itamsaidia nn .ujinga!Hiyo kesi ikifunguliwa jamaa anashinda mchana kweupe.Sidhani kama ni busara kwa mtu kufungua kesi huku ukitegemea kushinda kesi hiyo kwa kutumia circumstantial evidence.
Kushinda hiyo kesi bila additional evidence ni kazi ya ziada unless ana direct evidence kitu ambacho naona hapo ni kigumu.
WordMi mzee wangu si mtu wa kukaa na mimi na kuongea na mimi kwa sana ila anaongeaga kwa ufupi sana. Wakati namaliza chuo naanza kazi akaniambia mwanangu usiwahi kuoa nilishangaa la pili alilo niambia akaniambia mwanangu USITHUBUTU KUMUOA MWANAMKE ALIYE KUZIDI KIPATO mzee wangu akanyanyuka akaingia ndani na kusikiliza zilipendwa kesho yake akaenda morogoro matombo kulima ndizi zake.
Leo hii kupitia ugomvi wa jide na gadner ndio nimegundua kwa nini mzee aliongea vile, gadner alivyokuwa clouds alikuwa analipwa mshahara, alikuwa analipwa kupitia matangazo, alikuwa MC na alikuwa anaandaa matamasha yake yy mwenyewe kwa hiyo kwa kifupi alikuwa anaingiza ela tena ndefu tu, nawashangaa hawa wanao mwita gadner MARIO.
Kosa kubwa la gadner alilolifanya ni KUACHA KAZI CLOUDS na kwenda kuendeleza kazi za mke wake na yy kusahau kuijenga kesho yake, huu ulikuwa upendo mkubwa sana kujitoa kwa ajili ya mwengine na kujisahau ww mwenyewe na kweli gadner alikuwa bega kwa bega kummanage mke wake ktk shughuli zake.
Leo hii gadner ameachaana na mke wake hajadai hata senti tano yoyote mahakamani, ila kama ingekuwa kafanyiwa jide ungesikia taasisi za wanawake zikilalamika na vipindi wangemtengenezea ili wagawane mali iliyopatikana ktk kipindi cha miaka 15 gadner akamua kukaza na kuanza moja upya kama mwanaume.
Jide kama kawaida yake hakumwacha hivi hivi na nyimbo za kejeli, ingawa hakumtaja ktk nyimbo hizo ila maneno na video ukiungaisha na yule jamaa aliyeondoka na CD unapata picha halisi, ila jamaa bado kakaa kimya. Japokuwa wanaume wameubwa na kidaka tonge (koromeo) kwa ajili ya kuvumilia na ndio maana sisi wanaume tuna mengi sana mioyoni mwetu Kutokana na matatizo tunayoyafanyiwa wanawake ila sometime Kuna ukomo gadner nae binadam anaumia,kweli gadner aliteleza lkn nae hakumtaja jina.
Kwanza nashukuru gadner yupo huru jide aliubaka uanamme wake, alishindwa kuijenga kesho yake, gadner naona alivyokuwa na jide alikuwa kama zezeta ila sasa yupo huru. Sio huyo tu gadner mi hapa mtaani Kuna wazee wawili wanafikia miaka zaidi ya hamsini, ukiwaona hawa wazee kama mazezeta wapo wapo wanawategemea wako zao, mmoja mke wake ana saluni mwengine mke wake yupo bank kuu mi tangu nasoma O-Level mpaka namaliza chuo sijawahi kuona wakifanya cha maana wana kazi ya kuzurula tuu leo wakiachwa hawana pa kuanzia bora gadner anapo pakuanzia.
WANAUME TUTAFUTE VYETU KUEPUKA UZEZETA, DHARAU KUTOKA KWA MWANAMKE ALAFU UKIWA NA CHAKO UNAKUWA NA SAUTI NA HUU NDIO UANAUME GADNER SASA HIVI YUPO HURU KWANI AMERUDISHA UANAUMME WAKE KWA KUFIGHT KWA AJILI YA MAISHA YAKE NA FAMILIA YAKE.
Hahahahaha.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jide analeta mambo ya kitoto,gadner naye ivyo ivyo na vita hii kuna watu nyuma kwa mgongo wa iyo clip...wait and see
Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike".