Wanasheria wa nchi hii mko wapi? Simameni muwaambie akina Mwigulu Nchemba ukweli kuhusu haki katika sheria zetu

Status
Not open for further replies.
Hapa umempa makavu jaji mkuu ambaye ameacha kutekeleza majukumu yake ya kikatiba amebaki kujipendekeza kwa wanasiasa vihiyo!
Jaji mkuu na mwanasheria mkuu wa serikali kwa utawala huu ni ceremonial posts. Serikali inavunja sheria nyingi wapo wapo kama chura.
 
Mbona unachanganya maada sana, hebu tulia chini, punguza munkari, ndio uandike unachotaka watu tuelewe!
Nikianza na lugha (kiswahili vs kiingereza)!
Kama sheria unazoziongelea nj kwa ajili ya kuwasaidia watz wa kawaida na maisha yao ya kila siku basi ni busara hizo sheria ziwe rafiki kwa lugha na mazingira ya wanaozifumia! Kwa Tz, ambapo raia walio wengi huongea na kuelewa kiswahili kuliko lugha yoyote nyingine...ni wendawazimu, au ujinga, au ujuha kuzuweka sheria hizo kwa lugha za kigeni! Narudia tena ni upumbafu wa kupitiliza kuendelea kuwa na sheria zilizoandikwa kwa lugha ya waingereza ilu kufanya kwa kwa waswahili ambao hata 'chingereza' chenyewe hawakijui! Msomi yeyote anaeendelea kutetea upuuzi huu wa kurumia lugha za kigeni ktk sheria zetu, huyu ni wazi amepita darasani bila kuelimika, na hajui dhana nzima ya lugha! Na ni wazi mtu kama huyu mleta maada ametawaliwa na akili za kitumwa! Kwa maana nyingine, huyu hawezi kujiita mzalendo...bali mtumwa na mtwana! Hivyo napenda kumpongeza sana mh. Mwigulu kwa kuweka muelekeo wa kutafsiri sheria zetu na pia kuhakikisha muenendo wa mahakama zetu zinakidhi uhalisia wa wananchi husika kwa kutumika lugha kongwe yetu ya kiswahili!
 
Excellent!.Mtu akipinga andiko hili ni mediocre.A really critical analysis.
 
Mwigulu ni mzee wa maslahi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…