WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Tired of this..
Hivi haiwezekani kuwaweka wote wawili pamoja na kuwa na kitu kama MDAHALO???
Moderator atakuwa nani maana hapo watu watatoana ngeu..na kupelekea uvunjifu wa amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tired of this..
Hivi haiwezekani kuwaweka wote wawili pamoja na kuwa na kitu kama MDAHALO???
You are right... Ninachojua kuna watu watafanyiwa umafia (am not praying for this!) na kama si hivi, basi tutarajie anguko la ajabu katika serikali ya awamu hii kabla ya uchaguzi. Something needs to be done ASAP!
Moderator atakuwa nani maana hapo watu watatoana ngeu..na kupelekea uvunjifu wa amani.
binmgen said:mengi hana jipya la kuongea, hana ushahidi wowote wa madai yake, ila ni kama kawaida yake ni kulialia na kutaka wananchi wawe pamoja naye wakati yeye mwenyewe ni fisadi nyangumi hapa hakuna wahindi wala wamasai fisadi ni fisadi tu! umezowea kuparamia paramia watu lakini mara hii umeparamia mbuyu, hatuwezi kukuamini maneno yako ya porojo eti kwa kuwa wewe mweusi yeye mweupe, ndio unakotupeleka huko. hadi sasa ra 3 mengi 0
HEBU SOMA KITU HICHI ALICHOANDIKA MH MAHANGA
Wewe Ngurumo unajua pia kwamba nchi na taasisi wafadhili duniani hawapeleki misaada kwa nchi ambazo serikali yake haipangi bajeti yake kwa vipaumbele vya kulenga wananchi wake (pro-people budget) wala nchi ambapo utawala bora ni zero. Lakini angalia jinsi TZ inavyopata misaada mingi kuliko nchi nyingi kutokana na vigezo hivyo kuwaridhisha wafadhili. Hivi wao wameshindwa kuona hayo mnayoyaona nyie ya utawala mbovu na kutowajali wananchi? Hapana, sikubaliani na hilo.
Tatizo ni kuwakosanisha wananchi na serikali/chama tawala kwa kushikilia mambo au jambo ambalo kwa ujumla wake halina tija kubwa sana kwa watanzania walio wengi bali lina mtazamo wa ubinafsi, chuki, wivu na uelekeo wa kisiasa.
Milton
naona mwenzetu na wewe unaanza kumtamani..........uchizi si lazima uokote mkopo hata kumtamani mzazi wako...nao ni uchizi
Huyu Milton Mahanga si ndiyo nasikia Vicheche havikaziti kwake? Hi hiii hiiii.
Kwanza aseme kama hilo PhD lake ni la kweli au FEKI. Kama anatudanganya kuwa ana PhD wakati kanunua ONLINE, mengine yote yanaanza kuleta wasiwasi.
Si ndiyo huyu alibwabwaja pumba kwenye ATCL kuwa watu wana WIVU? Naona hilo la wivu analipenda sana. Kama watu wanafumbuliwa macho si kuwa wanawachonganisha. Somo lishaanza kueleweka na soon dawa yenu itapatikana.
Tanzania ni nchi TAJIRI sana. Kama tungelipata Rais mwenye akili ya KI-PUTIN basi leo hii tungelikuwa tunakula mzigo si kawaida na kuchakalika hasa kuongeza viziro kwenye account zetu banki. Naombea tupate Rais Mbabe na mtemi kama PM wa Malesia ili atunyooshe sisi Watz na kuwaonyesha wageni wote mahali pao. HATUHITAJI KUTEMBEZA BAKULI KUOMBA FEDHA. Hatutaki kuona Rais akitembea na bakuli. Kila kitu kipo Tanzania ila tumewapa wengine na sisi kwenda kuwa akina MATONYA.
Siku hiyo imekaribia.
Kweli unahasira nae sana, ukweli ni kuwa wote(Mengi na Rostam) ni MAFISADI. Sasa sijui anataka kutuambia nini sisi watanzania masikini.
Nanianasema Mengi hana jipya? Ni nani nambieni? We Piddy unatoka nchi gani?
Hv Umekubaliana na upumbavu aliokuwa anasema Yule fisadi papa jana? Unakubaliana
na ile hoplessness kweli?
Umeona wapi kukopa ni ajabu? Kama kuna shida na kukopa au kulipa hilo ni tatizo la
bakns zetu.
Shida ni kudanganya nchi kwa kufungua non-existing companies na kuyachukulia pesa
lukuki za nchi. Sijaona material thing katika kupayuka kwa yule mhindi. Alikuwa
anauza nyago tu huku waswahili wenzako wakimlinda mgongoni kama mfungwa.
Yawezekana ili kuweza kuelewa nguvu za RA ni lazima tuchore jedwali moja hivi na kujaribu kuweka ndani yake watu ambao wanahusiana au wamehusiana moja kwa moja na RA na sasa watu hao wako madarakani au kwenye nafasi fulani za maamuzi.
a. Wale aliowafadhili na kuwasaidia kushika au kudumisha nafasi za kisiasa.
MATOKEO:
16.Mahanga - Ubunge.
Nyie ndio mnawaponza hawa wazee kwa kukazania jicho kwa jicho.
Mimi nimeangalia conference zote mbili, kwa mawazo yangu RA alijiandaa na kama ni mahakamani ametoa utetezi ambao ni more convincing kuliko Mengi. Watu wa RA walifanya kazi nzuri ya kumwandalia mashambulizi yake.
Mengi awaachie hiyo kazi washauri na wataalamu wake kutayarisha majibu pamoja na documents zote, yeye kazi yake iwe na ku deliver.
Atueleze leo pesa alizokopa za kuzalisha hakuna matata zimeishia wapi naona rostam hakusema hili jana pamoja na ile mitambo ya kiwanda ni serikali imemsaidia kujenga kiwanda kile akakifilisi