Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

Status
Not open for further replies.
Nchi iuzwe ili tugawane kilobakia. Kwishne!

Iuzwe mara ngapi? ilisha uzwa sema bahati mbaya hatukugawana kilichopatikana, kiliishia kwa mafisadi papa, ndo maana tunaparulana ili walau watumegee iliyo haki yetu! Na nakwambia mwaka huu lazima kielweke!
 
nasubiri tarifa kamili ya mengi, milo home nipeni taarifa za hawa wezi.
nategemea jf mnipe taarifa maana ndo hapa huwa napata habari za home.
 
Mkuu Counterpunch,

Is the press conf still ON au tuondoke zetu kurudi Mbagala Maji Matitu?

Tunaomba update pleaseeeee!
 
Naona we are disconnected no updates, no development, no nothing!
 
Mazee vipi Movernpick? Na hamjanijibu bahasha za brown jana zilikua na nini?
 
labda tusubiri ,bado siku ni kubwa ila itakua si vizuri kama hii habari haina ukweli kwa ajili ni ishu ambayo inagusa maisha ya watz
 
mkuu wa nchi kimya.....
atasema nini?
vyombo husika vipo...vifanye kazi.Ni aibu kama Mkuu wa Nchi atafanya micro-management hadi kuwaambia watu wenye kelele " nyamazeni".
Kama kwenye kelele kuna substance let the concerned authorities take necessary action.
 
hata yule bwana mdogo Ngeleja na kijana wa Rostam, na ndie alimpa pande akagombee ubunge na JK hatamuacha, mnakumbuka alikuwa ndio mwanasheria wa Vodacom ambayo inamilikiwa na Rostam kwa upande wa Tanzania....
 
Redinald Mengi anataka Tanzania iwe kama United States,kwamba fisadi Papa mmoja akiwataja fisadi Papa wenzake,yeye aachiwe huru,wale wengine wakamatwe.

Unapata wapi hii hadith? mhh..
 
Kwani kua na account nje dhambi??? mi ni mwanafunzi na nina account nje kuna ubaya???
Hiyo account yako si unaweka fedha ulizochuma kwa jasho lako.Hapa hatuzungumzii akaunti halali yenye fedha halali bali akaunti za akina Chenge huko Jersey zenye billions.....

Wameshaanza kuwatuma kuwasafishia mambo hapa JF...They tried before but it didnt work.
 
tupasheni habari yaliyojiri katika mkutano na waandishi wa habari saa 7
 
Nchi iuzwe ili tugawane kilobakia. Kwishne!

Hii hoja nilishawahi kuitoa hapo siku za awali watu wakaipuuza. Dawa ya nchi hii ilipofikia ni hiyo tu. Hamna cha siasa, rais ,polisi, mahakama wala bunge litakalotunusuru..
 
Movenpick movenpick mnatuskia? nini kinaendelea...? Je jamaa ashaanza kuongea aaaahhgh! line imekatika..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom