Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao.
Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? hebu msikilize mwenyewe akizungumza
View: https://youtu.be/PZ_8JFw_5LM?si=LqdibxLmRJXzlhQY ni kufuatia hoja hii, ndipo mimi nikajitolea Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=LdYf8WVJTIKw8KCu
Somo la leo ni somo la kitu kinachoitwa vicarious liability. Haya ni mahusiano ya uwajibikaji wa kisheria yanayoitwa fiduciary relationship, yaani uhusiano wa uwajibikaji Kama mke na mume, mzazi na mtoto, daktari na mgonjwa, mwalimu na mwanafunzi, wakili na mteja wake.
Hii fiduciary relationship inampa uwajibikaji wa kisheria wahusika hao, ikiwemo mzazi kuhukumiwa kwa makosa ya mtoto wake wa umri wa chini ya miaka 14.
Kinga hii pia inahusu kutotoa ushahidi dhidi ya mtu huyo, mfano mke akijua mumewe ni jambazi, na ni muuaji, anaweza kusema kuwa anajua mumewe ni jambazi na muuaji ila ana kinga ya fiduciary kutowajibika kutoa ushahidi dhidi ya mumewe. Vivyo hivyo kwa sisi mawakili, unaweza ukawa ni wakili wa muuaji, akakiri ameua kwa 1st degree murder, wewe japo ukweli unaujua, utamshauri akanushe na utamtetea hadi hiyo murder case inageuka manslaughter.
Sasa kuna mauaji mengi yanayotokea na kuwahusisha watu wasiojulikana, kiukweli sio wasiojulikana wote ni wasiojulikana kweli, kuna baadhi ya mauaji yanafanywa na watu "wasiojulikana" kumbe kiukweli watu hao sio "wasiojulikana" bali ni 'wasiojulikana'.
Ili kuwatambua "wasiojulikana" na 'wasiojulikana' tembelea Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Hivyo vitendo vyovyote vinavyofanywa na 'wasiojulikana' kwa kujifanya ni "wasiojulikana", then anayewatuma ana wajibika nao vicariously.
Hoja hii ni kufuatia hoja hii humu jf
Ila kwa vile yuko serikalini na yeye ndie mkuu wa serikali, na anajua kuna mazingira fulani, serikali zote duniani huwa zina waua watu hatarishi kwa usalama wa nchi, dissidents, na kabla hawa dissidents hawajauliwa lazima CinC asaini ile death warrant, then death warrant yoyote ikisainiwa, aliyeua ni aliyesaini death warrant na sio wale watekelezaji.
Ikitokea makosa ya watu wake kumuua kwa makosa mtu safi kwa kudhaniwa ni dissident, then the blood of that person is upon aliyetoa hiyo order kwa niaba yake.
Na kunapotokea vifo ambavyo vingezuilika kwa kufanya kitu lakini hakikufanyika, then damu iliyomwagika is upon yule ambaye angezuia lakini hakuzuia.
Hivyo tumeshauri Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!
Hata yale matukio ya utekaji, utesaji na mauaji enzi za kipindi kilee... watu humu tulishauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! hao majamaa wali mute kimya, wakijua hawawezi kufanywa lolote, lakini mwisho wa siku aliyewajibishwa na top boss wao!.
Hivyo ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuijua hii vicarious liability kwa vifo vyovyote vya kizembe vinavyotokea chini ya mamlaka yao, na matukio yote ya utekaji, utesaji na watu kuuliwa au kupotezwa, hata kama wahusika hawatafutwa, serikali inajifanya kusema itafanya uchunguzi, kumbe ni uongo tuu kwasababu kila kitu wanakijua kwasababu hao watu wanaotenda vitendo hivyo ni watu wao!, hivyo hawatapatikana, hawatashitakiwa popote, na hawata wajibishwa kwa vitendo vyao viovu, lakini hukumu karma ambayo ndio hukumu ya haki hapa duniani, inakuwa ii juu yao!, anayewajibishwa mwisho, sio wale watendaji, wale walikuwa ni watekelezaji tuu, lakini anayewajibika, vicariously ni yule mwenye dhamana. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako! .
Baada ya kifo cha Mzee Kibao, watu wakaanza kupiga ramli, tumewashauri watu waache kupiga ramli chonganishi Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
Kanuni yenyewe ya vicarious liability ni hii
"Vicarious liability exists due to the legal doctrine of respondeat superior, which essentially means “let the master answer.” Employers, parents or others with a superior legal relationship to someone who does harm are expected to answer for those who are under their control.
Vicarious liability rules also exist in order to provide protection to victims of injury. Often, an individual employee or a child will not have the resources to provide compensation to those they harm through their negligence or wrongful actions. But companies and parents generally do.
Through the doctrine of vicarious liability, those who have resources (including the ability to buy insurance) and who were in a position to prevent harm but who failed to do so can be held accountable so victims do not go uncompensated"
Tanzania tuna bahati nzuri sana hatuna wanasheria aggressive wa kutetea watu, vinginevyo tungetumia private investigations kuwabaini hawa 'wasiojulikana' na kuwatundika msalabani, hii ingewafanya viongozi wetu kuwa more responsible for the life of its citizens.
Paskali
Update
Hii ni michango very objective
Tatizo la karma, inapokushughulikia haikuambii kosa lako!.
Lakini alipouliwa Imran Kombe, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS, familia yake ilifungua shauri la vicarious liability na familia walilipwa fidia ya zaidi ya shilingi milioni 300!.
Kwa vile si wengi wanaijua karma, ndio maana tunawashauri wateule wake wawajibike kikamilifu kumuepushia adhabu ya karma kwa bosi wao Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma
Na Utamaduni Viongozi Kuwajibika umeishia wapi?, Mbona Mwinyi, mauaji Mwanza aliwajibika?. Tusiruhusu madoa haya ya damu kuichafua nchi yetu -Wajibikeni!
P

Naunga mkono hoja, mtu mwenye wajihi kama huu, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” hawezi hata kuua panya!, kama ni kuua labda mbu, mende na sisimizi.Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, kujibu hoja hizo.
hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.
Ila kwa vile yuko serikalini na yeye ndie mkuu wa serikali, na anajua kuna mazingira fulani, serikali zote duniani huwa zina waua watu hatarishi kwa usalama wa nchi, dissidents, na kabla hawa dissidents hawajauliwa lazima CinC asaini ile death warrant, then death warrant yoyote ikisainiwa, aliyeua ni aliyesaini death warrant na sio wale watekelezaji.
Ikitokea makosa ya watu wake kumuua kwa makosa mtu safi kwa kudhaniwa ni dissident, then the blood of that person is upon aliyetoa hiyo order kwa niaba yake.
Na kunapotokea vifo ambavyo vingezuilika kwa kufanya kitu lakini hakikufanyika, then damu iliyomwagika is upon yule ambaye angezuia lakini hakuzuia.
Hivyo tumeshauri Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!
Hata yale matukio ya utekaji, utesaji na mauaji enzi za kipindi kilee... watu humu tulishauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! hao majamaa wali mute kimya, wakijua hawawezi kufanywa lolote, lakini mwisho wa siku aliyewajibishwa na top boss wao!.
Hivyo ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuijua hii vicarious liability kwa vifo vyovyote vya kizembe vinavyotokea chini ya mamlaka yao, na matukio yote ya utekaji, utesaji na watu kuuliwa au kupotezwa, hata kama wahusika hawatafutwa, serikali inajifanya kusema itafanya uchunguzi, kumbe ni uongo tuu kwasababu kila kitu wanakijua kwasababu hao watu wanaotenda vitendo hivyo ni watu wao!, hivyo hawatapatikana, hawatashitakiwa popote, na hawata wajibishwa kwa vitendo vyao viovu, lakini hukumu karma ambayo ndio hukumu ya haki hapa duniani, inakuwa ii juu yao!, anayewajibishwa mwisho, sio wale watendaji, wale walikuwa ni watekelezaji tuu, lakini anayewajibika, vicariously ni yule mwenye dhamana. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako! .
Baada ya kifo cha Mzee Kibao, watu wakaanza kupiga ramli, tumewashauri watu waache kupiga ramli chonganishi Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
Kanuni yenyewe ya vicarious liability ni hii
"Vicarious liability exists due to the legal doctrine of respondeat superior, which essentially means “let the master answer.” Employers, parents or others with a superior legal relationship to someone who does harm are expected to answer for those who are under their control.
Vicarious liability rules also exist in order to provide protection to victims of injury. Often, an individual employee or a child will not have the resources to provide compensation to those they harm through their negligence or wrongful actions. But companies and parents generally do.
Through the doctrine of vicarious liability, those who have resources (including the ability to buy insurance) and who were in a position to prevent harm but who failed to do so can be held accountable so victims do not go uncompensated"
Tanzania tuna bahati nzuri sana hatuna wanasheria aggressive wa kutetea watu, vinginevyo tungetumia private investigations kuwabaini hawa 'wasiojulikana' na kuwatundika msalabani, hii ingewafanya viongozi wetu kuwa more responsible for the life of its citizens.
Paskali
Update
Hii ni michango very objective
Mkuu Steve, Steven Joel Ntamusano, vicarious liability, haihusu kiongozi kuhusika direct au kumtuma, kiongozi anahusika vicariously kama baba anavyo wajibika kwa makosa ya mwanae hata kama hajamtuma!Hiyo Vicarious Liability mpaka iwepo ni lazima uwepo ushahidi wa kutosha kwamba wauaji wametumwa na mamlaka ya Rais.
Ni bahati Bongo hatuna mawakili aggressive kutetea haki za watu wanyonge masikini wa kutupwa ambao wanauawa kwa makosa na serikali. Kuna vifo vingi serikali zimehusika, lakini watu hao hawana uwezo wa kuajiri mawakili na wengi wa mawakili wetu ni after money, hakuna mawakili wa kutosha wa pro borno kufungua mashitaka hayo kwa kujitolea matokeo yake ni kuiachia tuu karma, na kweli karma inawashughulikia viongozi wetu kikamilifu na matokeo yake ndio kama vile...Waliuliwa wengi kule MKIRU na wengine miili ikawa inaokotwa Coco Beach sikuwahi kuisikia hiyo liability ikiwa kazini kwa maana ya Hayati JPM kubebeshwa mzigo wa hayo mauaji.
Tatizo la karma, inapokushughulikia haikuambii kosa lako!.
Lakini alipouliwa Imran Kombe, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS, familia yake ilifungua shauri la vicarious liability na familia walilipwa fidia ya zaidi ya shilingi milioni 300!.
Hakuna mtu yoyote amemuhusisha rais na mauaji, ninachofanya hapa ni kufundisha somo la kuwajibika, watendaji wote wa serikali, kila wanàlofanya, wanalotenda, wanalosema, ni wanafanya kwa niaba ya rais wa JMT, hivyo muwajibikaji wa mwisho anayewajibika na uhai wa raia wake, ni rais wetu, ikitokea waserekili wamefanya madudu ya ajabua ajabu, rais, anapaswa kuwawajibisha, na wasipowajibishwa, ni rais ndio anakuja kuwajibishwa yeye na karma kwa makosa ya watendaji wake!.Vyombo vya upelelezi vipo siku zote na ni jukumu lao, kuanza kumhusisha moja kwa moja Rais na murder cases za raia wake kisa masuala ya kisiasa ni uoga na wasiwasi wetu ambao siku hizi unaendelea kuwa mkubwa zaidi.