Wanasiasa 10 wenye hekima zaidi Tanzania hadi kufikia 2023

Wanasiasa 10 wenye hekima zaidi Tanzania hadi kufikia 2023

Et wenye Hekima, kwahiyo Samia, Kikwete, Jokate, Membe , Wana hekima?

Hekima ni nini?
Ndio maana yake. Si kila binadam ana hekma

Hekima ni hali bora ya mtu katika kutambua ukweli wa binadamu, vitu, matukio na mazingira mbalimbali hata kuchagua vizuri la kufanya.
 
Kwakuwa kipimo cha hawa ni Magufuli, basi hao mnaweza kuwaona ni malaika kabisa.
 
Kwakuwa kipimo cha hawa ni Magufuli, basi hao mnaweza kuwaona ni malaika kabisa.
Magufuli anaingiaje hapo, Wakati baba wa Taifa hayupo??

Jamaniee embu waacheni marehemu wapunzike kwa amani Ameen
 
Mwanancha namba moja.
1. Mh. Rais Samia Suluhu Hassan
2. Mh. J.M Kikwete.
3. Mh. Edward N. Lowasa
4. Mh . Simbachawene.
5. Mh. Mizengo Kayanza Pinda.
6. H. Benard Membe.
7. Mh. Hussein Mwinyi.
8. Mh. Jokate Mwegero.
9. Mh. Masauni.
10. Mh. Dr. Philip Mpango.

Kuna wakati mwananch mwingine alitoa hii Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini Tanzania

Seema kwa CCM hao ndio wana hekima sio Tanzania.
 
Mwanancha namba moja.
1. Mh. Rais Samia Suluhu Hassan
2. Mh. J.M Kikwete.
3. Mh. Edward N. Lowasa
4. Mh . Simbachawene.
5. Mh. Mizengo Kayanza Pinda.
6. H. Benard Membe.
7. Mh. Hussein Mwinyi.
8. Mh. Jokate Mwegero.
9. Mh. Masauni.
10. Mh. Dr. Philip Mpango.

Kuna wakati mwananch mwingine alitoa hii Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini Tanzania
hivi CCM kweli kuna kiongoz mwenye hekima? Subiri posho yako mkuu
 
Back
Top Bottom