Wanasiasa 10 wenye hekima zaidi Tanzania hadi kufikia 2023

Wanasiasa 10 wenye hekima zaidi Tanzania hadi kufikia 2023

Niliowaweka wametulia. Wanautulivu wa kutosha
Wana utulivu kwa sababu wamepata wasaa wa kugawana kodi yako amsha akili hiyo.

Hao wote uliowataja walipokuwa na nafasi walijitengenezea mazingira ya wewe kuja kuwaona wana hekima na busara ila wangekuwa na njaa ya madaraka kama kina Slaa still hizo sifa wangekuwa hawana
 
Mwanancha namba moja.
1. Mh. Rais Samia Suluhu Hassan
2. Mh. J.M Kikwete.
3. Mh. Edward N. Lowasa
4. Mh . Simbachawene.
5. Mh. Mizengo Kayanza Pinda.
6. H. Benard Membe.
7. Mh. Hussein Mwinyi.
8. Mh. Jokate Mwegero.
9. Mh. Masauni.
10. Mh. Dr. Philip Mpango.

Kuna wakati mwananch mwingine alitoa hii Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini Tanzania
Yaani hata B Membe naye ana hekima? Masauni na Jokate wanataka nini hapa?. Umeharibu uzi wako
 
1,2,3 na sita hakuna kitu mleta mada ....hasa huyo namba 2 ni zaidi ya nyoka anaitwa koboko.
 
Niliowaweka wametulia. Wanautulivu wa kutosha
katika orodha yako heri ungemtaja mzee wa ubwabwa ningefikiria mara mbili. Tanzania hatujabahatisha tena kumpata mwanasiasa complete ila JKN pekee wengine waliobakia ni wanafiki
 
Naomba somo lianzie hapa kwanza:

HEKIMA NI NINI?

Hekima ni ujuzi wa busara na uelewa wa kina kuhusu mambo ya ulimwengu.
Kuna aina mbalimbali za hekima:

1. Hekima ya kiutendaji, ambayo ni uwezo wa kutumia maarifa na ujuzi wa vitendo kwa njia sahihi na yenye manufaa;

2. Hekima ya kiroho, ambayo ni uwezo wa kuwa na uelewa wa kina kuhusu mambo ya kiroho na ya kidini; na

3. Hekima ya kijamii, ambayo ni uwezo wa kuishi na kushirikiana na watu kwa amani na maelewano.


Hekima ni muhimu sana katika maisha yetu kwa sababu inatusaidia kufanya maamuzi sahihi, kuepuka matatizo, na kufikia malengo yetu kwa ufanisi.

Hekima pia inatuwezesha kufanya maamuzi yenye manufaa kwa jamii yetu na kwa dunia kwa ujumla.

Kuna njia mbalimbali za kuweza kupata hekima ikiwemo kusoma vitabu, kuwa na mazungumzo na watu wenye hekima, kufanya utafiti, na kufanya tafakari na kutafakari kuhusu mambo mbalimbali katika maisha.

Watu mbalimbali duniani wamejulikana kwa hekima yao ikiwemo Nelson Mandela, Dalai Lama, Mahatma Gandhi, na Socrates. Watu hawa wamekuwa chanzo cha hekima kwa wengine duniani na wameacha alama ya kudumu katika historia.

Hekima ni ujuzi na uzoefu ambao anaweza kuwa nao mtu yeyote, bila kujali asili yake au eneo alilozaliwa.

Taifa letu la Tanzania lina watu mbalimbali wenye uzoefu, elimu na busara ambao wanaweza kuchangia kwa njia mbalimbali katika kuleta maendeleo na mafanikio ya taifa. Watu hawa wanaweza kuwa viongozi, wanaharakati wa kijamii, wanasayansi, wafanyabiashara, wasanii na watu wengine katika jamii.

Ni muhimu pia kutambua kuwa hekima ni sifa inayojengwa kwa muda mrefu kupitia uzoefu wa maisha, utafiti na kujifunza.

Kwa hiyo, kila mtu anaweza kuwa na hekima na anaweza kujifunza na kuendeleza hekima yake mwenyewe kupitia mbinu mbalimbali kama vile kusoma vitabu, kusikiliza na kuzungumza na watu wenye uzoefu, na kufanya utafiti.
 
Mwanancha namba moja.
1. Rais Samia Suluhu Hassan
2. J.M Kikwete.
3. Edward N. Lowasa
4. Simbachawene.
5. Mizengo Kayanza Pinda.
6. Benard Membe.
7. Hussein Mwinyi.
8. Jokate Mwegero.
9. Masauni.
10. Dkt. Philip Mpango.

Kuna wakati mwananch mwingine alitoa hii Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini Tanzania
Wenye hekima ni watatu tu hapo.
Mh. S.S. Hassan
Mh. A.H.Mwinyi
Mh.Masauni.


Wengine hawa wamekutuma uwapigie kampeni.
Eti Jokate!.
 
Eti wenye Hekima, kwahiyo Samia, kikwete,jokate ,membe , Wana hekima?

Hekima ni nini?
Labda uwe na Chuki zako tu, Kikwete kwa migogoro alioitatua nje ya Nchi, jinsi alivyoishi na wapinzani, the way anaovyoongea huhitaji elimu kujua ni mtu mwenye Hekima.
 
Back
Top Bottom