Wanasiasa 10 wenye hekima zaidi Tanzania hadi kufikia 2023

Et wenye Hekima, kwahiyo Samia, Kikwete, Jokate, Membe , Wana hekima?

Hekima ni nini?
Ndio maana yake. Si kila binadam ana hekma

Hekima ni hali bora ya mtu katika kutambua ukweli wa binadamu, vitu, matukio na mazingira mbalimbali hata kuchagua vizuri la kufanya.
 
Kwakuwa kipimo cha hawa ni Magufuli, basi hao mnaweza kuwaona ni malaika kabisa.
 
Kwakuwa kipimo cha hawa ni Magufuli, basi hao mnaweza kuwaona ni malaika kabisa.
Magufuli anaingiaje hapo, Wakati baba wa Taifa hayupo??

Jamaniee embu waacheni marehemu wapunzike kwa amani Ameen
 

Seema kwa CCM hao ndio wana hekima sio Tanzania.
 
hivi CCM kweli kuna kiongoz mwenye hekima? Subiri posho yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…