Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Wakuu,
Inaonekana wanasiasa mko tayari kusaka madaraka ya kuongoza wananchi kwa njia zozote hata za kuendesha, uasi, machafuko na mbinu za mapinduzi yasiyo halali kufanikisha malengo yenu yaliyojificha kwenye demokrasia, haki za binadamu na mwanya wa kikatiba.
Ni dhahiri ndani ya Tanzania na nje ya nchi kuna waTanzania wako tayari kuwa wasaliti, wahujumu na mamluki kupitia mwanya wa haki zilizoainishwa kwenye katiba ya nchi, mikataba ya kimataifa na maazimio ya wajumbe wanachama wa umoja wa mataifa, jumuiya ya madola nk chini ya msingi wa demokrasia, haki za binadamu, huduma za kijamiikwa njia ya kujitolea, uwakilishi nk.
Mara nyingi uasi unaweza kuanzishwa na watu wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii kupitia maisha duni ya kijamii, hali ya kiuchumi ya nchi au wananchi hivyo kushawisha kutotii mamlaka iliyoko madarakani kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Lengo hili ovu linaweza kuratibiwa ama kwa siri au kupitia njia halali za kijamii, shughuli za kisiasa, huduma za mafunzo ya kiulinzi na urekebishaji wa uchumi. Hivyo basi wanajitokeza watu kwa makundi ya kila aina ya talaamu na ushawishi wa kiasili:
Mamluki (Mercenaries): Hawa wanakuwa ni watu wenye utalaamu wa mabo ya kijeshi, ulinzi na usalama kwa kupata kandarasi ya kuendesha mafunzo kwenye taasisi za kiserikali au binafsi (military/security training and weaponization) ambapo miongoni mwa watu watakao pata mafunzo hayo wanampandikiza kwa malipo ya ziada nje ya shughuli rasmi.
Msaliti (Traitor): Mtu ambaye hakubaliani na mtu, kitu au mamlaka fulani hivyo kuamua kusaliti uhalisia (betray) kwa malipo au ahadi ya kupata kitu, au kufanikisha malengo yake ya muda mrefu haijarisha kama mbinu anayotumia italeta madhara kwa watu wengine wasio sehemu ya kikwazo kwake.
Mtu au kikundi kunapofikia hatua hii mbaya (last resort) kunakuwa na sura mbili
1. Uhaini (Treason-sedition mean disloyalty or treachery to one's country or its government. Treason is any attempt to overthrow the government or impair the well-being of a state to which one owes allegiance; the crime of giving aid or comfort to the enemies of one's government) .Mtu anapotenda jambo hasi dhidi ya nchi yake kwa kuisaidia nchi nyingine kwa kutoa siri zake (classified information shared to rival or enemy to facilitate teh overthrow manouvre) ipigane na nchi nyingine au kuharibu mahusiano baina ya nchi na nchi wenye lengo la kuiondoa mamlaka halali
2. Mapinduzi (Coup-a highly successful, unexpected stroke, act, or move; a clever action or accomplishment. (among the Plains Indians of North America) a brave or reckless deed performed in battle by a single warrior, as touching or striking an enemy warrior without sustaining injury oneself. coup d'état). Mtu au kikundi kuendesha kitendo cha kuondoa mamlaka halali iliyowekwa kwa mjibu wa katiba ya nchi au dola husika kwa lengo la kutimiza hisia na dhana za kudhulumiwa
Athari za kuendesha vitendo tajwa hapo juu
Endapo zoezi husika kushindikana au kugundulika njama zake mapema na wahusika kukamatwa ni mashitaka ya uhaini ambapo adhabu ya juu inapopothibitika pasipokuwa na shaka yoyote kupitia ushahidi ni kifungo cha maisha au kunyongwa (Penal code cap.16, section 39&40-death penalty whilst section 41 provides that 'misprision' the convict is penalized for life imprisonment).
KIFANI (Case Study)
Dar Es Salaam, High Court, 28th December 1985
Eight army officers and an airline pilot were convicted Saturday of plotting to overthrow the government three years ago and were sentenced to life in prison.
Six other defendants, including Christopher Ngaiza, 54, a former presidential adviser, were aquitted of the treason charges and freed.
High Court Judge Nassor Mnzavas said in issuing verdicts and imposing sentences to end the yearlong trial, ″I cannot close my eyes to the fact that had the coup taken place, many lives would have been lost.″
The defendants were accused of conspiring between June 1982 and January 1983 to stage a coup against then President Julius Nyerere.
Mnzavas said their motive was to remedy what they considered a hopelessly bad economic situation caused by poor leadership from the socialist government.
Thirty people were arrested in the case in early 1983. One escaped, charges were dropped against others, and the remainder were brought to trial last January. Four were acquitted previously.
Those convicted included Hatty Macghee, 46, a former pilot with state-owned Air Tanzania, and eight army captains, most of them in their early 30s.
Nyerere, Tanzania’s first leader after independence from Britain in 1961, retired in November and was succeeded by Ali Hassan Mwinyi.