Wanasiasa ambao Mama hawezi kuwafukuza, wanafunguka, anaoweza kuwafukuza wako kimya, na hata hawamtetei wala kummunga mkono?Unagundua nini?

Wanasiasa ambao Mama hawezi kuwafukuza, wanafunguka, anaoweza kuwafukuza wako kimya, na hata hawamtetei wala kummunga mkono?Unagundua nini?

Mimi sidhani kama ni woga au nini
Na hao wakumtetea ilizoeleka awamu ile na walikuwa wanalipwa kwa kuwaziba watu midomo na hata kukutwa kuzimu

Kumbuka yake matusi ya kina Musiba na like
Sasa unataka na Mama aajiri hit squads ama?

Hebu mwacheni mama afanye kazi iliyomuweka hapo maana akiendekeza yale mnayoyataka basi tutarudi kule kule na kuona masandarusi na Mama hana roho hiyo msimlazimishe kubadili tabia asiyo kuwanayo

Tabia unakuwa nayo tu na huwezi kuibadili
 
Naona hakuna watetezi wengi wa Rais kama ilivyokuwa kwa JPM, Picha inayonijia wengi hawajui 2025 ni nini kitatokea, hakuna anayetaka kuweka sura yake hadharani... PM (PRIVATE Message), VP (voice of Power) ,na Cabinet (calcium bicarbonate network of Tanzania), RC(Rule Careful), DC(Deal carefully) wote wapo kimya hawasemi kitu, hakuna anayewakemea kina Slowslow au wengine wa aina hiyo
 
Kodi tulizolipa kwa Magufuli?

Mkapa kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa tirion 20.

Kikwete kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa trion 23.

Magufuli kwa miaka yake 5 ya Urais alikopa trion 29.

Anayesema Magufuli hakukopa ni kuonewa huruma maana atakuwa anafanikisha ajenda zake binafsi.

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Uzingatie na exchange rates...Kisha angalia margins na siyo hizo absolute figures. Mnapenda sana maneno mengi yasiyo na facts wala value
 
Hilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza.

Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko pekee yake na ndio maana hata wasaidizi wake(wateule wake), hawatoki hadharani kupambana na kina Polepole na sasa Ndugai. Hawajitokezi kumtetea, wala kuwapinga wanaompinga Mama.

Wateule wake(hasa waliko serikalini) wanakaa kimya kulinda vibarua vyao tu, otherwise wangeungana na kundi la kina Polepole. Uchaguzi ukikaribia, wanaweza kuonyesha rangi zao halisi.

Silence means yes.
Mama ajifunze kwa Jiwe tu kwamba kazungukwa na wanafiki.hana back up, siasa ndivyo ilivyo imejaa unafiki. Subir uchaguzi ufike au ukaribie, Sema tu sikio la kufa halisikii dawa.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mama ajifunze kwa Jiwe tu kwamba kazungukwa na wanafiki.hana back up, siasa ndivyo ilivyo imejaa unafiki. Subir uchaguzi ufike au ukaribie, Sema tu sikio la kufa halisikii dawa.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Angejua walivyo hao wapenda vyeo walio ascend bila credentials angekubali hana chakupoteza kwakukubali kuweka mifumo mipya kupitia katiba mpya...Atakuwa Rais wa heshima siku zote...Kama walimgeuka JPM watashindwaje kumgeuka yeye kwamfano?

Na bahati mbaya ameji align na watu ambao wameshapoteza legitimacy kwa taifa hili...I pity her a lot!
 
Bwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.

Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.
😱
Peponi hatukutaki na Motoni pia hatukutaki!!
Alisikika jamaa mmoja🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Hizi figure nani anazitoa? Sio kwamba tunapigwa kweli! Mikataba ipo wapi? Ni siri? Kama ni siri kwanini tulipe sisi na sio wasiri walioshiriki! Uhuni tu unaendelea…
Nchi ikiwa na hela mwananchi hazimuhusu.

Nchi ikifilisika mwananchi anawajibika kulipa madeni ya nchi.

Ukitaka kuijua siasa utaishia kuugua magonjwa yote ya kuambukizwa na yasiyoambukizwa.


Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Uzingatie na exchange rates...Kisha angalia margins na siyo hizo absolute figures...Mnapenda sana maneno mengi yasiyo na facts wala value
Kuna tofauti gani kubwa ya exchange rates kati ya miaka mitano ya mwisho ya Kikwete na miaka mitano ya Mwendazake?

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Kuna tofauti gani kubwa ya exchange rates kati ya miaka mitano ya mwisho ya Kikwete na miaka mitano ya Mwendazake?

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Kaangalie value ya 2004 kisha uje 2016 alipoanza rasmi JPM uje urudi hapa...Kisha fanya valuation ya miradi ya miaka hiyo 10 na hiyo mitano...Linganisha makusanyo ya huyo na huyu kisha uje na hizo hizo figure uone...
 
Back
Top Bottom