CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Atakuwa kwao kumalizia sikukuuHivi makamu yupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa kwao kumalizia sikukuuHivi makamu yupo?
Tuambie wewe alikopa kiasi gani.Hii ya magufuli kukopatrl29 ni uongo uliotungwa na team baibui
Uzingatie na exchange rates...Kisha angalia margins na siyo hizo absolute figures. Mnapenda sana maneno mengi yasiyo na facts wala valueKodi tulizolipa kwa Magufuli?
Mkapa kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa tirion 20.
Kikwete kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa trion 23.
Magufuli kwa miaka yake 5 ya Urais alikopa trion 29.
Anayesema Magufuli hakukopa ni kuonewa huruma maana atakuwa anafanikisha ajenda zake binafsi.
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Mama ajifunze kwa Jiwe tu kwamba kazungukwa na wanafiki.hana back up, siasa ndivyo ilivyo imejaa unafiki. Subir uchaguzi ufike au ukaribie, Sema tu sikio la kufa halisikii dawa.Hilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza.
Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko pekee yake na ndio maana hata wasaidizi wake(wateule wake), hawatoki hadharani kupambana na kina Polepole na sasa Ndugai. Hawajitokezi kumtetea, wala kuwapinga wanaompinga Mama.
Wateule wake(hasa waliko serikalini) wanakaa kimya kulinda vibarua vyao tu, otherwise wangeungana na kundi la kina Polepole. Uchaguzi ukikaribia, wanaweza kuonyesha rangi zao halisi.
Silence means yes.
Hii ndiyo njia nzuri ya mama kuwamaliza wanafiki woteSisi wananchi wote tuunhane kudai Katiba Mpya mengine haya yatakuwa simple!!
Angejua walivyo hao wapenda vyeo walio ascend bila credentials angekubali hana chakupoteza kwakukubali kuweka mifumo mipya kupitia katiba mpya...Atakuwa Rais wa heshima siku zote...Kama walimgeuka JPM watashindwaje kumgeuka yeye kwamfano?Mama ajifunze kwa Jiwe tu kwamba kazungukwa na wanafiki.hana back up, siasa ndivyo ilivyo imejaa unafiki. Subir uchaguzi ufike au ukaribie, Sema tu sikio la kufa halisikii dawa.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
😱Bwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.
Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.
Nchi ikiwa na hela mwananchi hazimuhusu.Hizi figure nani anazitoa? Sio kwamba tunapigwa kweli! Mikataba ipo wapi? Ni siri? Kama ni siri kwanini tulipe sisi na sio wasiri walioshiriki! Uhuni tu unaendelea…
Ndio maana watu wanaamua kuwa wezi.Nchi ikiwa na hela mwananchi hazimuhusu.
Nchi ikifilisika mwananchi anawajibika kulipa madeni ya nchi.
Ukitaka kuijua siasa utaishia kuugua magonjwa yote ya kuambukizwa na yasiyoambukizwa.
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Kuna tofauti gani kubwa ya exchange rates kati ya miaka mitano ya mwisho ya Kikwete na miaka mitano ya Mwendazake?Uzingatie na exchange rates...Kisha angalia margins na siyo hizo absolute figures...Mnapenda sana maneno mengi yasiyo na facts wala value
Kaangalie value ya 2004 kisha uje 2016 alipoanza rasmi JPM uje urudi hapa...Kisha fanya valuation ya miradi ya miaka hiyo 10 na hiyo mitano...Linganisha makusanyo ya huyo na huyu kisha uje na hizo hizo figure uone...Kuna tofauti gani kubwa ya exchange rates kati ya miaka mitano ya mwisho ya Kikwete na miaka mitano ya Mwendazake?
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
akionekana ni kigoma au kanisani[emoji38][emoji38][emoji38]Hivi makamu yupo?
Taifa letu ni la watu wabinafsi kuanzia level ya familia hadi ngazi ya mwisho.Ndio maana watu wanaamua kuwa wezi.
Bora Magufuli alikopa ila hakukuwekea tozo na vitu havikupanda sababu ya makodi kama sasa hiviBro uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara, Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, kisha deni la taifa likapaa kwa 20t within 5yrs! Sasa tunalipa kodi, lakini anakopa offcamera!
una ushahidi?Wewe ni mpumbavu wawapi magufuri amekufa kaacha deni kubwa la taifa