Wanasiasa ambao Mama hawezi kuwafukuza, wanafunguka, anaoweza kuwafukuza wako kimya, na hata hawamtetei wala kummunga mkono?Unagundua nini?

Wanasiasa ambao Mama hawezi kuwafukuza, wanafunguka, anaoweza kuwafukuza wako kimya, na hata hawamtetei wala kummunga mkono?Unagundua nini?

Ukiacha mafuta na sukari kipi kilipanda tena?

Nondo ilikuwa inauzwa elfu 30 kama ilivyo sasa?
Mafuta yalikuwa yanauzwa 2600 kama ilivyo sasa?
Ukikuwa unalipia maelfu kadhaa ukifanya miamala kama ilivyo sasa? Hivi utalinganisha upandaji wa sukari na huu uliopo sasa hivi?
Magufuli anakufa kaacha ndoo ndogo ya mafuta inauzwa sh 34,000,kwa sasa sh 50,000=miezi 9 imeongezeka sh 16,000=inamaana akitawala miaka 10 bei ya ndoo moja itafikia sh 160,000.
 
Bwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.

Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe kodi twende tukakope anaonekana mbaya.
wewe ndio jinga nambari moja huna akili tahiri latmwisho, mama hataki tulipe nini ?! Pumbavu kabisa hivi unawaza kwa kutumia tigo express yourself au. YANI NA MATOZO YOTE KILA KONA UNASEMA MAMA TAKI TULIPE NINI ?
 
Busara ni kukaa kimya...

She has the power kuwaamuru wasiojulikana kufanya kazi yao ya kunyamazisha kila mwenye kiherehere...
 
Back
Top Bottom