ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Uzingatie na exchange rates...Kisha angalia margins na siyo hizo absolute figures. Mnapenda sana maneno mengi yasiyo na facts wala value
Shukran mkuu, umeongea mawazo yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzingatie na exchange rates...Kisha angalia margins na siyo hizo absolute figures. Mnapenda sana maneno mengi yasiyo na facts wala value
Magufuli anakufa kaacha ndoo ndogo ya mafuta inauzwa sh 34,000,kwa sasa sh 50,000=miezi 9 imeongezeka sh 16,000=inamaana akitawala miaka 10 bei ya ndoo moja itafikia sh 160,000.Ukiacha mafuta na sukari kipi kilipanda tena?
Nondo ilikuwa inauzwa elfu 30 kama ilivyo sasa?
Mafuta yalikuwa yanauzwa 2600 kama ilivyo sasa?
Ukikuwa unalipia maelfu kadhaa ukifanya miamala kama ilivyo sasa? Hivi utalinganisha upandaji wa sukari na huu uliopo sasa hivi?
Kwa hiyo hali tuliyonayo sasa hivi ni ya kawaida tu?
[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]my country peopleHivi makamu yupo?
wewe ndio jinga nambari moja huna akili tahiri latmwisho, mama hataki tulipe nini ?! Pumbavu kabisa hivi unawaza kwa kutumia tigo express yourself au. YANI NA MATOZO YOTE KILA KONA UNASEMA MAMA TAKI TULIPE NINI ?Bwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.
Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe kodi twende tukakope anaonekana mbaya.
Unajibu kama nilivyojibu[emoji23][emoji23]Mbona hata yeye alikaa kimya enzi za jpm
Malipo ni hapa hapa duniani