Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu! Ndio maana nikasema kwa mtazamo wangu.Number 6 na 7 umeproove failure kabisa
Huyo aliyepata ma fa fa fa fa faaaa.....au umetumia vigezo gan? Embu itazame hyo list vizur zn peruzi na kudadis elimu za waliowekwa hapoNamba 6. Nakuunga Mkono. Mwanasiasa Mtata na Asiyetabirika.
Ndio maana nikatoa option ya kuongezea na tusisahau kuwa huu ni mtazamo binafsi.Yaani wanasiasa tu ndiyo wenye akili zaidi, makundi mengine including wafanyabiashara, wajasiliamali, wanataaluma, watafiti nk wote wanazidiwa akili na wanasiasa? Sikubaliani!
Shhhhhh.... Usimwamshe aliyelala. Kwa maana ugali wake unategemea mada aina hizi mkuuHivi hatuna wanawake wenye akili!!!!
Wapo, Ila hawajathubutu kama waliopo kwenye orodha.
Sijatumia kigezo cha elimu zaidi! Na badala yake nimetumia uwezo wa kuthubutu na kutenda.Huyo aliyepata ma fa fa fa fa faaaa.....au umetumia vigezo gan? Embu itazame hyo list vizur zn peruzi na kudadis elimu za waliowekwa hapo
Haipendezi sana kufanya uchambuzi hapa! Ila kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo tutajitahidi kuwekana sawa kwa nia njema lakini.Labda ukimtoa namba1 ,
Hebu weka uchanganuzi kwa nini unasema hivyo maana...
miss chaggaHivi hatuna wanawake wenye akili!!!!
Sawa mkuu! Lakini akili haipimwi kwa kusoma na kukariri vitabu tu! Bali maarifa na ujuzi anaotumia mtu kufanya kitu/jambo fulani! Pia hayo ni matumizi ya akili.Kwa muktadha huo, badili heading isome waliothubutu na sio wenye akili nyingi.