Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ni akili tu! Ila uwezo wa kuzitumia mpaka kuwazidi wengine ndio maana zinaitwa nyingi kwa muktadha huo iangalie vizuri orodha.Akili nyingi kwenye nini? Kwenye kutumiaje?
Weka bayana?
Unaweza kuwa na akili nyingi kwenye wizi, uongo au kwenye kujenga jamii!
Fafanua
Unadhani kumtawala mwenye PhD yake ya maganda ya korosho hadi akikuona anafyata mchezo?Kwa mtazamo wangu hawa ndio watu ambao wana ufahamu na uelewa mkubwa zaidi kuwahi kutokea Tanzania tangu tupate Uhuru!
1.Mwalimu J.K. Nyerere
2.Kambona
3.Mashilingi
4.Andrew Chenge
5.Daudi balali
6.Paul makonda
7.prof Lipumba
8.Prof.Muhongo
9.Edward Ngoyai Laingwanani Lowassa
10.Tundu Lissu.
Binafsi Mimi nawakubali sana watu hawa kwa uwezo wao mkubwa wa kuhimili, kuchambua, kutenda mambo ambayo ni akili chache sana zenye asili ya kitanzania zenye uwezo wa kufikia angalau nusu ya uwezo wao! Watu hawa wamethubutu na wameweza! Heshima sana kwa watu hawa. NB najua kuna watu hawatakubaliana na mtazamo wangu lakini ukichunguza sana na ikiwezekana hata ukijichunguza wewe mwenyewe huwezi kufikia uthubutu wa watu hawa.
Haipendezi sana kufanya uchambuzi hapa! Ila kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo tutajitahidi kuwekana sawa kwa nia njema lakini.
Ni kweli kabisa ni uthubutu mkubwa kuvunja katiba na kudanganya umma kwa kughushi vyeti, video clips pia kuwadharau mawaziri na kudhalilisha mamlaka nyingine. Anastahili sifa kwa uthubutu wa kuvunja moyo waliompa sifa kwa project kv: Mti wangu na Dar es Salaam kwanza!!! Tanzania haihitaji watu wenye akili wala wabunifu [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sijatumia kigezo cha elimu zaidi! Na badala yake nimetumia uwezo wa kuthubutu na kutenda.
Genius anayeshindwa masomo sijawahi kumuona dunianigenius 'Has proven to control those who have authorities than him'
Genius anayeshindwa masomo sijawahi kumuona dunianigenius 'Has proven to control those who have authorities than him'
Huyo jamaa akili zake chenga hajui kuwa mnasiasa ni mgawanyo wa majukumu-kuna watu wapo field zingine ni vichwa hatariYaani wanasiasa tu ndiyo wenye akili zaidi, makundi mengine including wafanyabiashara, wajasiliamali, wanataaluma, watafiti nk wote wanazidiwa akili na wanasiasa? Sikubaliani!
Analist of the toiletKwa mtazamo wangu hawa ndio watu ambao wana ufahamu na uelewa mkubwa zaidi kuwahi kutokea Tanzania tangu tupate Uhuru!