Ooh serious!!??
Vipi kwenye kutokomeza rushwaa napenyewe alifanya vizuri zaidi ya wote?
Vipi kwanye usimamizi wa mali za uma kama vile wanyama pori, ni kwanini wamepungua kwa kasi kipindi chake?
Uhusiano wako na Kikwete ukoje? Nahitaji kujua.
Rushwa kaitokomeza sana Tena sana.
Wengine walikuwa wameminya uhuru wa Habari, wamelimiliki Bunge lisifurukute, walizuia Report za Ukaguzi za CAG zisiende Bungeni sasa.
Namna ya kutokomeza Rushwa
1) Kutoa uhuru wa Habari Watu kuwa huru kukosoa na kutaja wala Rushwa hata Rafikize wa Karibu Kama kina Ngoyai alikubali watoswe.
2) CAG alipewa Fungu kubwa la Fedha na Fursa ya kuweka hadharani Report yake na kujadiliwa.
3) Media zilikuwa huru sana ku report Matukio ya Rushwa na Ufisadi.
4) Wakati wa Jk ndio wakati Pekee tulishuhudia akifunga Gerezani Waliokuwa Mawaziri wake na Mawaziri wenzie Kama kina Mramba na Daniel Yona, haikupata tokea huko Nyuma japo Mawaziri wala Rushwa walikuwepo.
Rushwa hatokokezwi kwa Hotuba kali za Jukwaani, unawezaje kulinganisha Rushwa wakat wa Jk na kabla yak wakat wengine taarifa za Rushwa waliminya zisitoke.
Graduate waliohitimu wakat wa Jk ni wengi kuliko waliohitimu kuanzia 2005 mpaka kuanza kwa Dunia.
Vivyo hivyo kwny Sector kadhaa Mafanikio ni Makubwa sana.
N.B usishangae Awamu hii mkaambiwa imetokeza Rushwa zaid Kumbe wametokomeza Taarifa za Rushwa