Wanasiasa kumi wenye akili nyingi kuwahi kutokea Tanzania

Shilawadu, kwa sababu wanatumia akili nyingi kutafuta na kuongelea mambo yasio na maana.
 
Sawa mkuu! Lakini akili haipimwi kwa kusoma na kukariri vitabu tu! Bali maarifa na ujuzi anaotumia mtu kufanya kitu/jambo fulani! Pia hayo ni matumizi ya akili.

Kuthubutu nacho sio kiwango au kipimo cha kuonyesha wingi wa akili. Kuwa na akili nyingi ni wigo mpana sana.
Vinginevyo utoe tafsiri ya akili nyingi kwa kadri ilivyotumika kwenye huu uzi.
 
umeanza vzr ila no 6 kaharibu list nzima. Na je hata father house nae hajakushawishi mkuu.
 
NASHUKURA KWA TAARIFA ,,KWAMBA WEWE HAUPO KWENYE HIYO LOST TAFSIRI YAKE WE HUNA AKILI
 
Hivi serekali imeshaondoa Lile katazo la Kuuza VIROBA?
 
Number 6. Haitasahaulika Tz na kwa wapinzani....
Ni mtu ambaye kuna wakati wanaompinga wanapata matumaini kuwa wamemmaliza kisha anakuja na nguvu mpya zaidi huyu jamaa amewekwa kwenye historia
 
Samahani naomba uyo namba sita awe wa million 40 kati ya watanzania wenye akili nyingi... Samahani lakin kama inawezekana
Samahani naomba uyo namba sita awe wa million 40 kati ya watanzania wenye akili nyingi... Samahani lakin kama inawezekana
TAFADAHLI MKUU WAKATI MWINGINE JARIBU KUTUTOFAUTISHIA VIATU KWENYE WATU!!!!!!!!!!!!!!!
 
Umeharibu kwa kumweka na haramia katika listi yako, labda kama lengo lako ni kuleta dhihaka
 
namba 10 mbona ni mgonjwa wa akili.
 
Akili nyingi kwenye nini? Kwenye kutumiaje?
Weka bayana?
Unaweza kuwa na akili nyingi kwenye wizi, uongo au kwenye kujenga jamii!
Fafanua
 
Masilingi amefanya kipi cha kukumbuka?
 
Kuthubutu nacho sio kiwango au kipimo cha kuonyesha wingi wa akili. Kuwa na akili nyingi ni wigo mpana sana.
Vinginevyo utoe tafsiri ya akili nyingi kwa kadri ilivyotumika kwenye huu uzi.
Mkuu ni vema ukatoa dhana ya neno akili ili tuone ni kwa namna gani tunaweza kufikia malengo ya pamoja
 
Mkuu ni vema ukatoa dhana ya neno akili ili tuone ni kwa namna gani tunaweza kufikia malengo ya pamoja

Ndio maana nikakushauri ubadili title, kama ulivyosema hii ni orodha ya waliowahi kuthubutu (Kwa mujibu wa maneno yako).
 
Mleta mada inabidi kwanza utafute kichwa cha habari kinachoendana na mada unayotaka kuleta hapa.. kwa hiyo ili uonekane mwenye uwezo wa akili lazma kwanza uwe mwanasiasa? Kuna wataalamu wangapi manguli wa maeneo mbalimbali ambao wamafanya mambo makubwa kwenye secta zao? au kwa unavyoona wewe wenye akili wote ni walio kwenye siasa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…