Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
utayoigusa ndio kiswahili gani?Rais hupimwa kwa mafanikio yake akiwepo madarakani.
Kila nyanja utayoigusa, Kikwete kafanya zaidi kuliko wote.
Rais hupimwa kwa mafanikio yake akiwepo madarakani.
Kila nyanja utayoigusa, Kikwete kafanya zaidi kuliko wote.
Anampa jichoAnatumia akili sana kumconvice mkulu maana watanzania mil 40 tumeshindwa ila yeye kaweza, anastahili kuwepo hapo
Kwa mtazamo wangu hawa ndio watu ambao wana ufahamu na uelewa mkubwa zaidi kuwahi kutokea Tanzania tangu tupate Uhuru!
1.Mwalimu J.K. Nyerere
2.Kambona
3.Mashilingi
4.Andrew Chenge
5.Daudi balali
6.Paul makonda
7.prof Lipumba
8.Prof.Muhongo
9.Edward Ngoyai Laingwanani Lowassa
10.Tundu Lissu.
Binafsi Mimi nawakubali sana watu hawa kwa uwezo wao mkubwa wa kuhimili, kuchambua, kutenda mambo ambayo ni akili chache sana zenye asili ya kitanzania zenye uwezo wa kufikia angalau nusu ya uwezo wao! Watu hawa wamethubutu na wameweza! Heshima sana kwa watu hawa. NB najua kuna watu hawatakubaliana na mtazamo wangu lakini ukichunguza sana na ikiwezekana hata ukijichunguza wewe mwenyewe huwezi kufikia uthubutu wa watu hawa.
Ili ujue kuwa hao watu wana akili, inawezekana mambo waliyoyafanya wewe huwezi kuyafanya! Maana yake akili waliyotumia mpaka kufika hapo wengi hawana.Unapimaje wingi wa akili? Ninadhani title yako inaleta mashaka. Toa vipimo au vigezo unavyotumia kupima wingi wa akili ili tujue tunapochangia tunaangalia nini.
Ili ujue kuwa hao watu wana akili, inawezekana mambo waliyoyafanya wewe huwezi kuyafanya! Maana yake akili waliyotumia mpaka kufika hapo wengi hawana.

Weka na waliyofanya, 9 na 10 wamefanya nini?Kwa mtazamo wangu hawa ndio watu ambao wana ufahamu na uelewa mkubwa zaidi kuwahi kutokea Tanzania tangu tupate Uhuru!
1.Mwalimu J.K. Nyerere
2.Kambona
3.Mashilingi
4.Andrew Chenge
5.Daudi balali
6.Paul makonda
7.prof Lipumba
8.Prof.Muhongo
9.Edward Ngoyai Laingwanani Lowassa
10.Tundu Lissu.
Binafsi Mimi nawakubali sana watu hawa kwa uwezo wao mkubwa wa kuhimili, kuchambua, kutenda mambo ambayo ni akili chache sana zenye asili ya kitanzania zenye uwezo wa kufikia angalau nusu ya uwezo wao! Watu hawa wamethubutu na wameweza! Heshima sana kwa watu hawa. NB najua kuna watu hawatakubaliana na mtazamo wangu lakini ukichunguza sana na ikiwezekana hata ukijichunguza wewe mwenyewe huwezi kufikia uthubutu wa watu hawa.
Hapo Namb 6 weka bashiteeeKwa mtazamo wangu hawa ndio watu ambao wana ufahamu na uelewa mkubwa zaidi kuwahi kutokea Tanzania tangu tupate Uhuru!
1.Mwalimu J.K. Nyerere
2.Kambona
3.Mashilingi
4.Andrew Chenge
5.Daudi balali
6.Paul makonda
7.prof Lipumba
8.Prof.Muhongo
9.Edward Ngoyai Laingwanani Lowassa
10.Tundu Lissu.
Binafsi Mimi nawakubali sana watu hawa kwa uwezo wao mkubwa wa kuhimili, kuchambua, kutenda mambo ambayo ni akili chache sana zenye asili ya kitanzania zenye uwezo wa kufikia angalau nusu ya uwezo wao! Watu hawa wamethubutu na wameweza! Heshima sana kwa watu hawa. NB najua kuna watu hawatakubaliana na mtazamo wangu lakini ukichunguza sana na ikiwezekana hata ukijichunguza wewe mwenyewe huwezi kufikia uthubutu wa watu hawa.
Mbona jina la mkulu halipo? Ondoa jina la Tundu Lisu ila wengine wabakieKwa mtazamo wangu hawa ndio watu ambao wana ufahamu na uelewa mkubwa zaidi kuwahi kutokea Tanzania tangu tupate Uhuru!
1.Mwalimu J.K. Nyerere
2.Kambona
3.Mashilingi
4.Andrew Chenge
5.Daudi balali
6.Paul makonda
7.prof Lipumba
8.Prof.Muhongo
9.Edward Ngoyai Laingwanani Lowassa
10.Tundu Lissu.
Binafsi Mimi nawakubali sana watu hawa kwa uwezo wao mkubwa wa kuhimili, kuchambua, kutenda mambo ambayo ni akili chache sana zenye asili ya kitanzania zenye uwezo wa kufikia angalau nusu ya uwezo wao! Watu hawa wamethubutu na wameweza! Heshima sana kwa watu hawa. NB najua kuna watu hawatakubaliana na mtazamo wangu lakini ukichunguza sana na ikiwezekana hata ukijichunguza wewe mwenyewe huwezi kufikia uthubutu wa watu hawa.
Ooh serious!!??
Vipi kwenye kutokomeza rushwaa napenyewe alifanya vizuri zaidi ya wote?
Vipi kwanye usimamizi wa mali za uma kama vile wanyama pori, ni kwanini wamepungua kwa kasi kipindi chake?
Uhusiano wako na Kikwete ukoje? Nahitaji kujua.