Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Huenda covidal anataka kuona kama ameshapata baraka ya kuwa mamluki😁Jina lako tu MamaSamia2025 achilia mbali utumbo ulioandika linatia kichefuchefu..
Kwa sababu hata hujui wala kutambua kuwa Dr Slaa, Halima Mdee na Esther Bulaya si wanachama wa CHADEMA...!!