GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Takwimu mpya kutoka Mamlaka husika imesema kuwa kwa hivi sasa 77% ya ' Population ' ya Tanzania ni Vijana.
Mnaotaka Kugombea Urais au Kuendelea nao baada ya 2025 Kazi Kwenu sasa katika Kulishawishi, Kulidanganya, Kulirubuni na hata Kulitumia vizuri hili Kundi ili 2025 Ikulu iwe Nyumbani Kwako.
Na nyie (Sisi) Vijana wenye hii 77% hebu tutumie miaka hii Minne (4) iliyobaki kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 Kujitafakari kwamba je, tuendelee Kutumika au Safari hii nasi tuamue kwa Niaba ya Tanzania yetu ya baadae?
Kazi Kwenu Wanasiasa wa Tanzania hii.