Nawashauri vijana, mwaka 2025 tujitokeze kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali katika vyama vyote, ili tuvurugane kwelikweli! Kuwaachia wazee wachache ni kuwapa fursa ya kuendelea kutusahau.
Kwa mfano, itapendeza endapo, vijana milioni mbili wakijitokeza katika mchakato wa kura za maoni za udiwani, na ubunge. Halafu kwenye urais wajitokeze vijana hata laki moja hivi.
Hiyo itasaidia watakaoshinda kuboresha sekta ya ajira kwa vijana, ili vijana wasiitamani siasa.
Kwa sasa, wanasiasa wetu wapo huru sana, ndiyo maana wanajali maslahi yao, na kuwasahau vijana.
Kwa hapa Tanzania siasa inalipa sana, kuliko kazi nyingi za kitaaluma. Hivyo, vijana tuamke. 2025 tugombee mpaka wazee waone kero.