Wanasiasa, mna Takwimu hii mpya ili muanze kujipanga kimkakati kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025?

Wanasiasa, mna Takwimu hii mpya ili muanze kujipanga kimkakati kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025?

Nawashauri vijana, mwaka 2025 tujitokeze kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali katika vyama vyote, ili tuvurugane kwelikweli! Kuwaachia wazee wachache ni kuwapa fursa ya kuendelea kutusahau.

Kwa mfano, itapendeza endapo, vijana milioni mbili wakijitokeza katika mchakato wa kura za maoni za udiwani, na ubunge. Halafu kwenye urais wajitokeze vijana hata laki moja hivi.

Hiyo itasaidia watakaoshinda kuboresha sekta ya ajira kwa vijana, ili vijana wasiitamani siasa.

Kwa sasa, wanasiasa wetu wapo huru sana, ndiyo maana wanajali maslahi yao, na kuwasahau vijana.

Kwa hapa Tanzania siasa inalipa sana, kuliko kazi nyingi za kitaaluma. Hivyo, vijana tuamke. 2025 tugombee mpaka wazee waone kero.
 
Labda wajitoke kwenye vyama vidogo.

Vyama vikubwa vyote vina watu wao tayari.
 
Takwimu mpya kutoka Mamlaka husika imesema kuwa kwa hivi sasa 77% ya ' Population ' ya Tanzania ni Vijana.

Mnaotaka Kugombea Urais au Kuendelea nao baada ya 2025 Kazi Kwenu sasa katika Kulishawishi, Kulidanganya, Kulirubuni na hata Kulitumia vizuri hili Kundi ili 2025 Ikulu iwe Nyumbani Kwako.

Na nyie (Sisi) Vijana wenye hii 77% hebu tutumie miaka hii Minne (4) iliyobaki kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 Kujitafakari kwamba je, tuendelee Kutumika au Safari hii nasi tuamue kwa Niaba ya Tanzania yetu ya baadae?

Kazi Kwenu Wanasiasa wa Tanzania hii.
Zamani ilikuwa wanawake wako wengi hivyo wamchague chaguo lao sasa inasenwa vijana wako wengi hivyo wamchague mtu wao! Yaani tuchague mtu kwa kuangalia rika badala ya kuangalia
ataifanyia nini Tanzania.

Kana ni hivyo, Watanzania bado hawajajua maana ya uchaguzi.
 
CCM ni chama cha umma hakiendeshwi na mawazo ya mtu mmoja Kama ilivyo Chadema, Mbowe akisema Lowasa ndo mgombea urais basi hakuna wa kupinga. CCM kila baada ya miaka 10 wanabadili mwenyekiti, Mbowe ana miaka zaidi ya 20 amekalia kiti halafu wanajiita chama cha demokrasia.
Chama cha umma kutoka wapi?.Ata ccm kilianzishwa na wazo la mtu akashirikisha wenzake miaka hiyo kabla ya TAA,TANU.Leo inakiona hivyo kwasababu imeshapita miaka mingi na waasisi leo hawapo lakini uko nyuma kulikua na wenye chama na wao ndo walikua wenye kauli ya mwisho.Angekuwepo Mwl Nyerere angekwambia vizuri.Mengine CCM imerithi tu nchi na kuongoza kwao nchi ndo maana unakiona ni chama cha tofauti ila mambo ni yale yale.Kasome historia.
 
Ndo inatakiwa ifike mahali Mbowe ajitoe amwachie mtu mwingine aongoze, na waweke term limit ya miaka 5 x 2.
 
Hii ni kwa hisia zako.

Unaweza kuwa na katiba nzuri lakini hakuna anayeuheshimu na usiwe na kitu cha kufanya.

Maadili na kuheshimu matakwa ya watu siyo kitu ambacho unaweza kukipatia suluhisho la moja kwa moja kwa katiba.

Leo tuna katiba hiyo hiyo mbovu lakini haiheshimiwi.

Zanzibar wana katiba nzuri sana ya mwaka 2007 lakini hakuna anayeiheshimu.

Kenya wana katiba nzuri sana lakini matatizo mengi yako vile vile.

Mahakama ina amuru Miguna Miguna ni raia halali wa Kenya arudi Kenya, lakini serikali haiheshimu hiyo amri.

Kama maadili na kuheshimu taratibu hakupo, Mwisho wa siku yule anaekaa na hazina na kuheshimiwa na jeshi ndio ataamua hata mkiwa na katiba kutoka wapi.
Hizo sio katiba bora.ni mabandiko ya hoja au makaratasi yanayoitwa katiba.Ukiona kuna nchi inakatiba isiyoheshimiwa jua walioiandaa hiyo katiba walifanya makusudi isiheshimiwe kwa maslahi yao binafsi.
 
Ndo inatakiwa ifike mahali Mbowe ajitoe amwachie mtu mwingine aongoze, na waweke term limit ya miaka 5 x 2.
Kwani mbowe atakaa hapo milele.Au unadhani hicho chama kinakufa leo?.Ata Nyerere alikua mwenyekiti wa Ccm miaka mingi kabla yakuachia kwahiyo wacha mbowe afanye wajibu wake kwa muda atakaopata nafasi yakukiongoza chama maana hicho chama bado kina safari ndefu duniani.
 
Hapana mtu ameongoza zaidi ya miaka ishirini sidhani Kama ana mawazo mapya, aachie wengine waje na mawazo mbadala.
 
Back
Top Bottom