Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Jamaa wanaitafuna nchi vizuri sningekuwa pesa ya kujenga Bumbui its ok, lkn pesa ya kununulia VXR Mirupo hapana hii si sawa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wanaitafuna nchi vizuri sningekuwa pesa ya kujenga Bumbui its ok, lkn pesa ya kununulia VXR Mirupo hapana hii si sawa!!
Kwa hiyo kama hawana uwezo solution ni kuwapa wahindi? Je swala la usalama likoje?Kwa ujuzi wangu na navyowajua Ega hawana uwezo wa kutengeneza mifumo waliyonunua TRA wala TANESCO hata asilimia 10. Ile ni mifumo mikubwa inayotumika Duniani.
Ega ukiangalia tu website za serikali unaweza kujua ni watu wa uwezo gani halafu wapewe kutengeneza mifumo mikubwa kama ya TRA ama TANESCO kweli?
Sio kila kitu lazima kifanywe na wataalamu wetu wakuu. Vitu vingine viko juu ya wataalamu wetu.
Kesho....Tulia dawa ikuingie
umewahi kuifanyia ukaguzi ukafahamu hilo lini ?Kwa ujuzi wangu na navyowajua Ega hawana uwezo wa kutengeneza mifumo waliyonunua TRA wala TANESCO hata asilimia 10. Ile ni mifumo mikubwa inayotumika Duniani.
Ega ukiangalia tu website za serikali unaweza kujua ni watu wa uwezo gani halafu wapewe kutengeneza mifumo mikubwa kama ya TRA ama TANESCO kweli?
Sio kila kitu lazima kifanywe na wataalamu wetu wakuu. Vitu vingine viko juu ya wataalamu wetu.
Ukiwakuta wanavopost huko Instagram 😂Utasikia mitano tena kwa mama....
Wanaosema hivyo siyo wana nia njema nae ila wasaka Tonge na wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa..
Mkurugenzi pole sana!E-GA ni taasisi inayoratibu serikali mtandao, ni taasisi ambayo inajenga mifumo karibu mingi sana inayotumika na serikali.
Serikali imeokoa pesa nyingi sana kutoka nje ya nchi na imetoa ajira kwa wazawa. Zaidi sana taarifa na usiri ama unyeti wa taarifa za serikali umeongezeka baada ya mifumo ya ndani kuanza kutumia
Nini kinaendelea kwa sasa?
wanasiasa kadhaa ambao sitawataja leo wanaratibu mpango wa kuiua E-GA ili mifumo ya serikali ianze kutengenezwa nje /ku out source kwa jina la kiluguru.
Je hawa wanasiasa wananufaikaje?
wanasiasa hawa wamesha weka hisa zao kwenye kampuni kadhaa ndani na nje ya nchi ambazo wakisha iua EGA , watazipa kandarasi hizo kampuni ambazo nyuma ya pazia ni zao , wanakuja kwa mgongo wa sekta binafsi lakini ukweli sio sekta binafsi , ni matumbo binafsi.
Mpaka sasa wamefanikiwa kuwang'oa E-GA TRA , tayari TRA anakamilisha ununuzi wa mfumo kwa zaidi ya Bilion 12 za kitanzania(TZS).
Mfumo mwingine TANESCO upo njiani.
Hali ni mbaya sana, wanamtafuta Mkurugenzi wa E-GA ikibidi auawe maana anakwamisha madili yao
kumsifia rais sioni tatizo , same as wanaomkosoa sio tatizo.Ukiwakuta wanavopost huko Instagram 😂
1)Nani kama mama
2)mama mfarijii wetu
3)jemedari
Kumbe ni wasaka tonge tu kulinda nafasi zao na maslahi 😊😊 hao ni wakupiga chini wote
Wanamsifia mpk Rais anaona hapa sasa mmezidisha unafiki
Aiseeeh hata mi nimekua nikijiuliza kimya kimya kuhusu hili... hebu anzishia uzi mzeeHivi mfumo ule wa tanesco uliweka na makamba juzi kupitia kampuni ya kihindi lwa sh 70b umeshakufa tena jamani mpaka uwekwe mwingien
eGA ni TAASISI ya serikali sio kampuni ya mtu binafsiE-GA kumbukumbu zangu zinaniambia ni ya mkurugenzi wa tcra,class mate wangu
Utofautishe mzalendo namba moja na mwizi namba moja.AISEH
NGOJA tuone!
Mama atakubali!?mzalendo namba moja!!?
Mfumo wa tanesco marope alivyosema tuu vile nikajua wanaanza kutafuta pesa za uchaguzi hawa vyura wa kijani.Mfumo mwingine TANESCO upo njiani.
Nilitaka kumuuliza tweeter kumbe kanipiga tofari😅😅😅Hivi mfumo ule wa tanesco uliweka na makamba juzi kupitia kampuni ya kihindi lwa sh 70b umeshakufa tena jamani mpaka uwekwe mwingien
Mnasifia kwa kua mmeteuliwa mnahofia nafasi zenu kulinda maslahi tukumsifia rais sioni tatizo , same as wanaomkosoa sio tatizo.
Huwezi jua anayemsifia ameguswa vipi na uongozi wa raisi , same to wanaomkosoa , huwez jua wamekwazwa vipi na uongozi wake.
Kwa hio kila mtu ashinde mechi zake, hao wanao kosoa waongeze speed, na wanao sifia wasifie zaid