DOKEZO Wanasiasa na mipango ovu ya kuiua eGA

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa hiyo kama hawana uwezo solution ni kuwapa wahindi? Je swala la usalama likoje?
Kwanini tusi wa train ma IT wetu wawe na huo uwezo?
 
umewahi kuifanyia ukaguzi ukafahamu hilo lini ?
 
Utasikia mitano tena kwa mama....

Wanaosema hivyo siyo wana nia njema nae ila wasaka Tonge na wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa..
Ukiwakuta wanavopost huko Instagram 😂

1)Nani kama mama
2)mama mfarijii wetu
3)jemedari


Kumbe ni wasaka tonge tu kulinda nafasi zao na maslahi 😊😊 hao ni wakupiga chini wote

Wanamsifia mpk Rais anaona hapa sasa mmezidisha unafiki
 
Mkurugenzi pole sana!
 
kumsifia rais sioni tatizo , same as wanaomkosoa sio tatizo.
Huwezi jua anayemsifia ameguswa vipi na uongozi wa raisi , same to wanaomkosoa , huwez jua wamekwazwa vipi na uongozi wake.
Kwa hio kila mtu ashinde mechi zake, hao wanao kosoa waongeze speed, na wanao sifia wasifie zaid
 
Mfumo mwingine TANESCO upo njiani.
Mfumo wa tanesco marope alivyosema tuu vile nikajua wanaanza kutafuta pesa za uchaguzi hawa vyura wa kijani.
All in all mkurugenzi wenu wa E-GA hali na watu wengi au yuko upande wa kundi hasimu ndio maana wanataka kumng'oa
 
Hivi mfumo ule wa tanesco uliweka na makamba juzi kupitia kampuni ya kihindi lwa sh 70b umeshakufa tena jamani mpaka uwekwe mwingien
Nilitaka kumuuliza tweeter kumbe kanipiga tofari😅😅😅
 

Attachments

  • Screenshot_20230524-091716_Twitter.jpg
    66.9 KB · Views: 21
Mnasifia kwa kua mmeteuliwa mnahofia nafasi zenu kulinda maslahi tu

Mmeguswa kwa kua mnalamba asali siku mkitolewa kwenye hizo nafasi nyie ndio mnakua maadui zake wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…