Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Hiyo ni kweli mkuu, tanesco walitumia mabilion ya pesa kwa ajili ya huo mfumo na ilisha jadiliwa hapa kipindi flani.Kama ni kweli, maana inaweza kuwa ni tetesi au uzushi, nchi yetu, shida ni nini? Mbona kila kitu chema kinapigwa vita? Mambo mabaya mabaya ndio yanapewa platform kama vile hatujali kesho yetu itakuwaje?
Inasikitisha sana. Muomba Mungu hachoki. Ipo siku Mwenyezi Mungu atanyoosha mkono wake atutendee haki. Haiwezekani kabisa wachache waharibu na kama vile haki haipo, waendelee kupeta. CAG na ripoti yake ni mfano halisi