Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Hiyo ni kweli mkuu, tanesco walitumia mabilion ya pesa kwa ajili ya huo mfumo na ilisha jadiliwa hapa kipindi flani.Kama ni kweli, maana inaweza kuwa ni tetesi au uzushi, nchi yetu, shida ni nini? Mbona kila kitu chema kinapigwa vita? Mambo mabaya mabaya ndio yanapewa platform kama vile hatujali kesho yetu itakuwaje?
Inasikitisha sana. Muomba Mungu hachoki. Ipo siku Mwenyezi Mungu atanyoosha mkono wake atutendee haki. Haiwezekani kabisa wachache waharibu na kama vile haki haipo, waendelee kupeta. CAG na ripoti yake ni mfano halisi
Kuna kitu kinaiywa 10% unakijua wewe? Wamwachie eGA alafu wao wale wapi? Wamwachie eGA alafu pesa za kampeni wapate wapi?out of respect , ni washenzi sana wanaofanya hio mipango kama ni kweli.
ili iweje sasa , they should atleast leave it for poor kids wafanye tech issues.
E-GA ndio sehemu pekee ambapo ukiajiriwa unaenda kufanya kazi kweli , hakuna watoto wa wakubwa pale , hio mifumo ikitengenezwa nje ya nchi sas si tuna expose siri za nchi nje au ndo tumeamua kuuza nchi
Kumbuka hata JPM kuna malegend walikua wanampiga chenga , nchi imejaa wajuaji sana hiiMkuu huwezi mdanganya rais kiivo. Kwanza TISS watakua wamelala wapi mpaka waruhusu ujuha kama huo? Ukiona issue kama hizo zinafanyika jua rais lazima ajue.
Nchi hii unatukana kwa hili tu ? utatukana sana , kuna upuuzi mwingi sana hua unaendeleaout of respect , ni washenzi sana wanaofanya hio mipango kama ni kweli.
ili iweje sasa , they should atleast leave it for poor kids wafanye tech issues.
E-GA ndio sehemu pekee ambapo ukiajiriwa unaenda kufanya kazi kweli , hakuna watoto wa wakubwa pale , hio mifumo ikitengenezwa nje ya nchi sas si tuna expose siri za nchi nje au ndo tumeamua kuuza nchi
Hiyo ni kweli mkuu, tanesco walitumia mabilion ya pesa kwa ajili ya huo mfumo na ilisha jadiliwa hapa kipindi flani.
Nini kifanyike ? Toa maoni yako alafu tuma salamu kwa watu wawiliHata kama ni kweli, Ila sidhani Kama E-GA is that competent. So isiangaliwe Kama wanasiasa wanataka iua Ila efficiency ndo inatafutwa. Sasa why hatuwezeshi vya ndani Hilo sijui
Kwa chap chap ninavyofikiri,bila kuathiri Sheria za nchi maana sijui taratibu za nchi kuhusiana na usalama wa taarifa zake, nadhani waanze kwa kununua systems/programs duniani then wa customize to fit the need. Then pale watakapokua fit waanze kuzidevelop from scratch. Hii ya ku develop from scratch naona yaweza kuwa shida zaidi.Nini kifanyike ? Toa maoni yako alafu tuma salamu kwa watu wawili
Uzi ukirudi hebu nitag mkuuSio kinachoendelea E-GA, hata ega wenyewe hawajui ni beyond their reach , game linachezwa beyond their level .
Zaid zaidi waombe Mungu na kusali sana , watu waujue ukweli haraka
Hapo ndio unapofeli, hakuna mfumo complex, na Tanzania hii tuna watu lukuki wa kuweza kufanya hii mifumoComplexity ya hiyo mifumo naijua mkuu. ERP za TANESCO na TRA ni very very complex. Bado hatuna technological capability ya kuiunda hiyo mifumo.