DOKEZO Wanasiasa na mipango ovu ya kuiua eGA

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna wakati naona Serikali wanawekeza Fedha kutengeneza mifumo ambayo ni Useless.

Mf. Mfumo wa eMrejesho... Nimetuma Mrejesho wangu una zaidia ya Miezi 2 haujapitiwa.
 
Sasa Nape ashutuke nini WAKATI ni mmoja wa Majambazi wa Awamu ya TOZO
 
Anapojua nikweli wanamuingiza chaka huwa anachukua hatua gani?... kwani CAG kasemaje kuhusu wizi unaofanyika serikalini.ikiwemo kununua mabehewa used kwa bei ya mpya na Mkurugenzi even now yupo ofisini? acheni kumtetea mama yenu Cha muhimu tumlazimishe tupate Katiba Mpya tuweke mifumo mipya yakuongoza hii Nchi bila hivyo hakuna kitu kitaenda
 
Ndio maana kazi walizotangaza TRA unaomba kupitia website yao na sio Ajira portal ya serikali?
 
Mkuu huwezi mdanganya rais kiivo. Kwanza TISS watakua wamelala wapi mpaka waruhusu ujuha kama huo? Ukiona issue kama hizo zinafanyika jua rais lazima ajue.
Miongoni mwa vitu vya KIJINGA kabisa ambavyo wadanganyika wanafanya ni kumuepusha Rais na uchafu unaofanyika hii haiwezekani?
Sababu ana tools nyingi zakujua kila kinachoandelea
 
Kwani zama za upigaji ziliondoka lini hapa Bongo
 
Hii tabia imerudi [emoji33], upumbavu huu JPM aliukomesha. Ama kweli tutamkumbuka [emoji22].
Wewe wacha huu ujinga jiwe hakuna alichoweza kuzuia upigaji alichofanikiwa ni kuzuia wasiomuunga mkono kupiga lkn waliokuwa upande wake walitafuna mpaka wengine hawakutosheka walikuwa wanatengenezea watu kesi wapige kwenye Plea bargain... Not that
 
Kwanza mfumo wa E-GA haukuanzishwa na JIWE ulianzishwa na MKWERE nilimsimkia siku akiwa kwenye Interview na Clouds... halafu unaomba wabunge watusaidie unamaanisha wabunge wepi? hawa waliopitisha bajeti ya Wizara ya Ardhi KIJINGA?
 
ushauri mzuri sana huu
 
Wabongo wapo wazuri sn tena mno. ..shida wengi niwatoto wamaskini hawana network yakutosha. .wengine wameachakabisa IT nakwenda kufanya kilimo
mazingira yanabanwa sana kama hivi ,watu wanakatishwa tamaa na kuamua kuanza career tofauti
 
Kuna halmashauri sasa hivi zime-outsource kukusanya mapato, imenichekesha Sana. Halmashauri zimeipa kampuni binafsi kukusanya mapato. Fatilia sasa mwenye hiyo kampuni

Bado nawaza raisi, waziri na viongozi wengine wameweza kukubali vipi kitu kama hiki?
 
Kwanza mfumo wa E-GA haukuanzishwa na JIWE ulianzishwa na MKWERE nilimsimkia siku akiwa kwenye Interview na Clouds... halafu unaomba wabunge watusaidie unamaanisha wabunge wepi? hawa waliopitisha bajeti ya Wizara ya Ardhi KIJINGA?
EGA imeanzishwa 2019, Ila kabla ya hapo kulikua na hiyo wakala wa serikali mtandao. Ni kitu kimoja japo majukumu yalikuja kuboreshwa na kutungiwa Sheria zingine

Serikali mtandao imeanzia mbali kabla hata ya JK, ni toka enzi ya mkapa. Ila kila awamu kulikua na maboresho

Muhimu tuairudi nyuma, badala ya kuidhohofisha EGA, kwa sasa ndio ilipaswa ipewe nguvu zaidi maana teknolojia imekua kwa kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…