Wanasiasa ombeni msamaha, Tulitumika vibaya mwaka 2015-2020 Kueneza Chuki

kilichokuwa kinafanyika awamu ya tano kilikuwa hakina tofauti na kilichokuwa kinafanyika Rwanda na kupelekea genocide.....it was just the matter of time tulikuwa tayari tumechukua uelekeo kuelekea kwenye tatizo lenyewe
... kama ni ndege, ndio taratiiibu ilikuwa inatembea kuelekea runway kusubiri order ya kuanza mbio tayari kuruka!
 
Acheni unafiki makosa ya Ole sabaya ni yapi, makosa ya Hapi ni yapi? makosa ya Chalamila ni yapi? najua mnajiliwaza kwa kuwa wabunge wenu walishindwa chaguzi katika hiyo mikoa na walikuwa ni wabunge vigogo wa SACCOSS yenu, pia siku hizi bila aibu mumekuwa mkijikomba sana kwa mama, mama hayafanyi hayo eti kwa ajili yenu naye ana yake ndio mjua hivyo,sio kuwa anawapenda sana.
 
Wasiojielewa kama wewe ndiyo tatizo la nchi hii. Rudi shule hujachelewa . Kuwa na vyama vingi ktk mfumo wa uendeshaji nchi si uadui wala chuki . Kama alivyoamini Jiwe wenu na vikaragosi wake . Kufikia Kuwaita wapinzani maadui
 
Huu ukweli mchungu wanasiasa wakubali kuomba msamaha tu.
Kuwa halikuwa lengo kuwanyanyasa/kuwakandamiza watu ila ni amri kutoka kwa mwendazake.
 
Mbeya mjini veepee
 
Kusema kweli 2015 to March 17 2021.
Watanzania tulikuwa kwenye wakati mgumu sana.

Kama kuna mtanzania anatamani kurejea enzi hizo mmh Mungu amponye.
 
Huyo sabaya wako amesimamishwa hajasimamishwa tuanzie hapo kwanza!!
 
kilichokuwa kinafanyika awamu ya tano kilikuwa hakina tofauti na kilichokuwa kinafanyika Rwanda na kupelekea genocide.....it was just the matter of time tulikuwa tayari tumechukua uelekeo kuelekea kwenye tatizo lenyewe
Na hayakutokea kwa sababu wananchi waliretreat kwenye maandamano ya UKUTA na uchaguzi wa 2020 vinginevyo tungekuwa tunaomboleza mpaka sasa.

Mungu alikuwa na njia nyingine ya kutuokoa.

Asante Mungu muweza wa yote
 
msamaha hautoshi, wajiuzulu maana wakibaka uchsaguxzi.
 
Kusema kweli 2015 to March 17 2021.
Watanzania tulikuwa kwenye wakati mgumu sana.

Kama kuna mtanzania anatamani kurejea enzi hizo mmh Mungu amponye.
Mpaka mtu unaogopa kumtaja kiongozi wako jina !!. Mpaka ulimwengu ukatunyoshea mkono kwa ajili ya u dictator !!

Kumbe mtu moja anaweza kubadilisha uelekeo wa taifa !!??. MUNGU NI FUNDI NA ANAIPENDA TANZANIA
 
Tupo tayari kabisa kukusamehe. Ila dhambi moja hujaigusa. Ni ile ya kura za uchaguzi, nini kilitokea?
 
tulia kunywa water gadi uko less Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…