Wanasiasa ombeni msamaha, Tulitumika vibaya mwaka 2015-2020 Kueneza Chuki

Jiwe c kashaondoka? Tutaona sasa nchi itakavyokua, Tupo hapa
 
Umeomba wewe inatosha .;!
Na wao wakiona wanapaswa kuomba wataomba.
 
Hawa wanaantaliaga upepo tu ili wapewe nyadhifa wale hawana lolote

Nakuambia

Akija kiongozi mwingine wa tofauti na mama naye atafunguka nakujiosha ili tu apate nafasi
... hapo ndipo umuhimu wa kauli ya Mama ya kuteua mtanzania yeyote bila kujali uchama, ukabila etc. as long as ana uwezo kwa kazi husika. Hii mijitu ya kujipendekeza ili kupata vyeo ni hatari mno!
 
Ole Ndugai atemwe ni mshenzi sana huyu mtu.
 
... hapo ndipo umuhimu wa kauli ya Mama ya kuteua mtanzania yeyote bila kujali uchama, ukabila etc. as long as ana uwezo kwa kazi husika. Hii mijitu ya kujipendekeza ili kupata vyeo ni hatari mno!
Kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…