Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kiujumla, upinzani umekata tamaa kabisa, licha ya ukweli kwamba ukata wa fedha za kufanya mikutano ya hadhara, umekita mizizi kwenye vyama vyao.
hakuna uhakika wa chochote katika chaguzi zijazo, licha ya kwamba mazingira sawa ya kufanya siasa yamewekwa na serikali iliyopo madarakani.🐒
kulalamika, stori na porojo za kujiliwaza tangu mwanzo, hadi mwisho wa mikutano yao, ndio umekua mtindo wa siasa zao.
No way forward at all. hata wanaojipiga kifua kwamba ndio wanafaa kua viongozi wanajionea aibu wenyewe. hawaaminiani, hawaaminiki, hawaeleweki na hawakubaliki kwa wananchi pande zote nchini.🐒