Wanasiasa wa Upinzani kuweni makini mnapofanya mahojiano na Media za Nje

Wanasiasa wa Upinzani kuweni makini mnapofanya mahojiano na Media za Nje

Anasema korona wakati yeye mwenyewe anajichanganya kama kawaida
Leo Nilibahatika Kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini.

1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa
3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania kwasasa

Binafsi Nitaegemea kwnye hoja ya Pili ambayo ni COVID-19.

Ikumbukwe kwamba Kenya ni Moja ya nchi mpinzani wetu mkubwa katika sector ya utalii na ndio maana mpaka leo kuna watu wanajua mlima kilimanjaro ambao ni moja ya kivutio kikubwa cha utalii duniani upo Kenya.

Suala la Tanzania kufungua mipaka na kukaribisha Watalii kipindi cha COVID-19 kimewaumiza sana majirani zetu, na wataalam wa masuala ya uchumi lazima watakwambia tumegain positively kiuchumu kwa move hii.

Niseme ukweli ni ujinga kuiponda serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu COVID-19, Halafu unasema COVID-19 ipo sana Tanzania kwa takwimu zipi? Kilichopo ni watu kuchukua tahadhari na kuendelea na maisha.

Hivi hii COVID-19 ingekuwepo hapa Tanzania na maambukizo yawe ndio kama tunavyoelezwa Tanzania si kungekua na maiti huko Barabarani zimezagaa? Nani aliangalia fainali ya FA cup kati ya Simba na Namungo? mliona ule msongamano

Lets be careful guys, Ninajua wengi hawatapenda hii kwakua wana mahaba na upinzani lakini penye ukweli lazima usemwe.

Sijafurahia walivyofanya baada ya mahojiano kuweka TBT YA IDDI AMIN DADA AKIWAFOKEA MAWAZIRI WAKE.
 
Niseme ukweli ni ujinga kuiponda serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu COVID-19, Halafu unasema COVID-19 ipo sana Tanzania kwa takwimu zipi? Kilichopo ni watu kuchukua tahadhari na kuendelea na maisha.

IKiwa ni ujinga sana kusema Tanzania kuna Covid-19 bila takwimu, basi ni ujinga sana kusema Tanzania hakuna Covid-19 bila takwimu.

Hilo wala hujaona? Basi ni ujinga pia kuongea vitu bila kufikiria sana.
 
Acha uzuzu wewe korona ipo sana nchini acheni siasa za kishamba hizo.
Wewe ndo zuzu Kama Corona ingekuwepo ungeenda kumpokea huyo mbeligiji wako bila hata kuvaa barakoa Wala kuzingatia social distance.

Peleka ujinga wako huko kwenye koo zako siyo hapa jf.
 
Hivi hii COVID-19 ingekuwepo hapa Tanzania na maambukizo yawe ndio kama tunavyoelezwa Tanzania si kungekua na maiti huko Barabarani zimezagaa?
Nakuunga mkono baadhi ya hoja na nakupinga baadhi ya hoja. Naungana na wewe kuwa haikuwa vyema kuizungumzia Tanzania kwa namna ile. Napingana na wewe kwa hoja yako kwamba kipimo cha kuwapo au kutokuwapo kwa korona ni idadi ya maiti zinazozagaa barabarani
 
Ebu tuondolee usukununu wako, kama unaona corona hakuna sawa huo ni mtazamo wako na tutatoa ubani kwenye msiba wako.

Wacha kuwatia watu ujinga na upuuzi wa hali ya juu, waache waamini wanavyo hisi kuamini. Wacha wachukue tahadhali dhidi ya corona.
Wewe ndo zuzu Kama Corona ingekuwepo ungeenda kumpokea huyo mbeligiji wako bila hata kuvaa barakoa Wala kuzingatia social distance.

Peleka ujinga wako huko kwenye koo zako siyo hapa jf.
 
Ebu tuondolee usukununu wako, kama unaona corona hakuna sawa huo ni mtazamo wako na tutatoa ubani kwenye msiba wako.

Wacha kuwatia watu ujinga na upuuzi wa hali ya juu, waache waamini wanavyo hisi kuamini. Wacha wachukue tahadhali dhidi ya corona.
Nani anachukua tahadhali?

Ni upumbavu kusema kuna corona alafu kesho tunakuona umekiuka hatua zote za kukijikinga
 
Alafu hao wasukuma unaowadharau ndio wenye turufu ya kumweka mtu pale ikulu ujue.

Chadema wengi ni wajinga sana hukata matawi waliyoyakalia! Au unafikiri wapiga kura wapo pale rombo tu?
 
Wewe ni zaidi ya mkabila na ubaguzi umekujaa kwenye damu yako, kwani unadhani wasukuma ndiyo watu pekee wanao piga kura hapa Tanzania?
Alafu hao wasukuma unaowadharau ndio wenye turufu ya kumweka mtu pale ikulu ujue.

Chadema wengi ni wajinga sana hukata matawi waliyoyakalia! Au unafikiri wapiga kura wapo pale rombo tu?
 
Nani anachukua tahadhali?

Ni upumbavu kusema kuna corona alafu kesho tunakuona umekiuka hatua zote za kukijikinga
Usinufuati she mimi matendo yangu, na usitumie matendo yangu kuwapotosha wananchi wengine.

Waache wachukue tahadhali dhidi ya corona. Wacha kuwapotosha kwa faida zako binafsi.
 
Kwahyo kwa vile ni corona ujiropokee tu hovyo na kudaganya taarifa bila kuwa na takwimu?
Kwanini nchi yako haina takwimu, unaona ni uamuzi wa busara au UJIMA?

Maana hakuna shaka tumeingia kwenye mfumo wa kichifu, tunaongozwa na matakwa ya mtu sio taaluma tena wala sheria.
 
Kwanini nchi yako haina takwimu, unaona ni uamuzi wa busara au UJIMA?

Maana hakuna shaka tumeingia kwenye mfumo wa kichifu, tunaongozwa na matakwa ya mtu sio taaluma tena wala sheria.
Tanzania kukaa bila takwimu za ugonjwa ni hatari Ila sio kivile, lakini kwa tensions yetu na Kenya haikuwa busara kuzungumza nchi yetu in negative way, hasa kipindi hichi ambacho shughuli za kitalii zimerejea na watu kuanza kujipatia kipato baada ya kudorora hapa katikati. To me sio busara kuongelea nchi yako in negative way maana waathirika ni raia wa Hali ya chini, tutofautiane mitizamo Ila let's protect National interests
 
Watalii hawahitaji taarifa za Lissu kufanya maamuzi, wanavyo vyanzo maalum.

Hata hivyo wiki tatu zilizopita Lissu akiwa bado yupo Ulaya nilienda Serengeti National Reserve, nilikuwa almost peke yangu.

Je ni Lissu aliwazuia au vyanzo vyao vya kuaminika?
 
Mkuu lazima mjiongeze hili kujiropokea tu ccm wakianza propaganda mtapoteza kura na kuaminiwa, you have to know na jamii gani unayo deal nayo. Magu Hili swala limempa credit Sasa kuongea tu hivi people won't understand you
 
Wacha wajichimbie makaburi
1. Kugain sana kiuchumi ni uongo. Idadi ya watalii wanaokuja Tz kwa sasa ni ndog sana. Issue c sisi tumefungua mipaka, bali watalii wenyewe wanachukua tahadhari hawasafiri sana kipindi hiki.
2. Kuhusu covid19 kuwepo au kutokuwepo utajuaje wakati serikali haifanyi vipimo na kutoa takwimu? Unasema tuchukue tahadhari- tahadharri ya nini kama ugonjwa haupo?
 
Ungekuja na idadi za ndugu zako wa karibu waliopoteza maisha kwa ugonjwa huo wa Covid -19 hapo kidogo ningeanza kukuelewa, lakini stori za vijiweni hapa havina nafasi. Vifo vya binadamu vilikuwepo na vitaendelea kuwepo hata kabla ya Korona, idadi ya vifo bado inaendelea kuwepo kama ile hata kabla ya corona ambao vifo vyao vinafahamika kwa madaktari. Tueleze ni mkoa gani ambao wananchi wana ugonjwa huo hatari kuzidi ukimwi na malaria?
Sio lazima ndugu yake afariki ndipo tujue ugonjwa upo Tz. Kumbuka kwamba kati ya wanaoambukizwa % ndogo tu ndio hufariki. Na sio yeye anaetakiwa kuthibitisha ugonjwa upo au haupo. Serekali ndio inatakiwa kufuata taratibu za WHO- kufanya vipimo na kutoa takwimu.
 
Back
Top Bottom