Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimesema wanasiasa na nimetoa mifano ya Mpina na Kibajaji.Kusemwa kwa Wabongo ni kitu cha Kawaida.
Kama hupendi Mama asemwe usiingie JF
Hao ndo peke yao wanasiasa wachovu?Mkuu nimesema wanasiasa na nimetoa mifano ya Mpina na Kibajaji.
Well Noted Mkuu..Kuna kundi la wanasiasa, wafaidika na sera za yule jamaa yetu aliyetangulia mbele za haki, hawaishi maneno maneno kumsakama Mama Samia.
Wanamsakama utafikiri wataenda kumfufua marehemu amalizie ngwe yake ya miaka minne iliyobaki.
ACHENI UNAFIKI!
Maneno maneno.... oooh madeni yanazidi....
mara kakaa kutembea tu.....
mara uteuzi ni wawaislamu tu.....
mara JK yuko nyuma ya serikali ya Samia.....
Walikuwepo kina Sabaya, kina Makonda, kina Cyprian Musiba, kina Polepole, lakini wanafiki walikuwa kimya kama maji ya mtungi, leo uhuru wa kuongea umeongezeka , basi lawama kila kukicha!!
Mimi nawahesabu kama wachovu tu, mara Mpina mara Kibajaji.
NYAMAZENI come on.
Au mgombee uchaguzi wa 2025 na nyinyi, wananchi tuwapige chini!
Huko China, lilizuka kundi la The Gang of Four baada ya kifo cha Mao Tse Tung aliyekuwa kiongozi wa China.Sukuma Gang wanazulia Samia mambo mengi sana
Kwahyo viongozi hawatakiwi kumkosoa Mama.?Mkuu nimesema wanasiasa na nimetoa mifano ya Mpina na Kibajaji.
Kuna kukosoa kwa nia njema na kuna kumnanga mtu kwa kebehi.Kwahyo viongozi hawatakiwi kumkosoa Mama.?
Nampa mama BIG UP kwa kugeuza upepo wa serikali yake ukilinganisha na Magufuli.Haya sema wewe basi kama unaona kumsema Samia wanafaidika na lolote...
Na ukiona husemwi basi ujue hakuna jipya unafanya.
Labda anataka tusifie kama kawaida yao.Haya sema wewe basi kama unaona kumsema Samia wanafaidika na lolote...
Na ukiona husemwi basi ujue hakuna jipya unafanya.
Kumsema msemeni kwa staha lakini mwacheni apige kazi.Kama hataki kusemwa aachie ngazi hii ni ofisi ya umma siyo mali yake binafsi, mbona Bakheresa hasemwi?
Kuna mtu kamtukana?Kumsema msemeni kwa staha lakini mwacheni apige kazi.
Kimoyomoyo ndio!Kuna mtu kamtukana?
Atulie au aachie ngaziKimoyomoyo ndio!
Uzuri wa Mama Samia si kichwa kigumu kama yule bichwa.Atulie au aachie ngazi