Wanasiasa wachunguze hii ya mstuko wa moyo isijekuwa ni mstukizo wa moyo

Wanasiasa wachunguze hii ya mstuko wa moyo isijekuwa ni mstukizo wa moyo

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Katika awamu ya sita, wanasiasa watatu waandamizi wamekufa kwa 'mstuko wa moyo' au kuugua ghafla

Alianza Job Ndugai.

Alifuata Jenista Mhagama.

Na sasa Wiliam Lukuvi.

Je, walikuwa wanaugua kwa muda mrefu wakaficha au?

Nani atafuata?

Kunani?
 
Mtu ana miaka 70,80, moyo unagoma achunguzwe kitu gani?
Moyo ndio kiungo pekee ambacho hakipumziki katika mwili wa binadamu.
 
Katika awamu ya sita, wanasiasa watatu waandamizi wamekufa kwa 'mstuko wa moyo' au kuugua ghafla

Alianza Job Ndugai.

Alifuata Jenista Mhagama.

Na sasa Wiliam Lukuvi.

Je, walikuwa wanaugua kwa muda mrefu wakaficha au?

Nani atafuata?

Kunani?
Wanasiasa hawa taaluma ya kuchunguza maswala ya kitabibu, wao waendelee kuchunguza na kufanya tathimini ya ni watu wa upande gani/mlengo upi wanatangulia kwa "mshitukizo" wa moyo kisha wajipime wao wako upande upi?

Hili la uchunguzi wa kama ni "mshituko" au "mshitukizo" wa moyo wawaachie madaktari
 
Back
Top Bottom