Wanasiasa waliosema wamehama vyama vyao na kujiunga na CCM kwa kuwa wananafurahishwa na Magufuli, siku Magufuli muda wake ukiisha wataenda nae Chato?

Namna wanavyo address hii issue ya wahamiaji inakatisah tamaa wafia chama, watu wanakuja leo kesho wana mashangingi ya Serikali - hata kama ningekuwa mimi roho lazima iniume aisee!!
Yaani akina wa kudadavua bia yangu na mgonjwa mtambuka wao ni watu wa mapambio tu, hahahaaaa wamechagua b7 bc...lkn jamaa moyoni ina wauma sema ndo wanakufa na tai shingoni...na hii imekuwa ikituongezea kura maana wengi wao inawakera hvyo wanaamua kutupigia kura...
 
mkuu mbona umeandika mada shallow kuliko ilivyo kawaida yako? Yaani waende nae chato? sasa si ungeuliza hata kama wangehama CCM na kurudi kwenye vyama vyao? hili la kurudi chato umeandika kumshambulia Magufuli personally
 
Kwn c ndo kishawishi cha wao kwenda aliko?? Hivyo hata akiachana na siasa watamfuata aendako
 
Hakuna kitu kilichokuwa kikinishangaza - kama sio kuchefusha, kama kumsikia mwanasiasa, mwanaume au mwanamke mzima ambaye tunatumaini ana akili timamu na za kutosha, akitamka hadharani kwamba ameamua kutoka chama chake kwa kuwa eti amefurahishwa sana na Magufuli!

Hivi kweli hawa wanasiasa hawaoni aibu kutamka maneno kama haya mbele ya watu?

Wote siku zote tumeamini kwamba mwanasiasa anakuwa mwanachama wa chama fulani kwa kuamoni itikati au sera za chama hicho. Lakini mwanasiasa kuonyesha kwamba yeye suala la itikadi au sera za chama sio muhimu bali mtu fulani baki katika chama ndio anamvutia kiasi cha kuacha chama chake, huo ni ulevi na ujinga wa kisiasa ambao unatia hata aibu kuusema hdharani.

Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka kwamba kuna watu katika siasa ni malaya wa kisiasa (political prostitution). Naamini kabisa alikuwa akiongelea watu kama hawa pia. Na baadae aliongelea kwamba kumpenda mtu na kutumia mapenzi hayo kwa mtu binafsi kama msingi wa kufanya uamuzi wa kisiasa haifai kabisa, kwa kuwa kupenda kwa namna hiyo kunapaswa kuhusianishwe na kutoleana posa! Alisema peleka posa tukacheka bila kuelewa aliwaza mbali sana.

Mimi nilitegemea kwamba wanasiasa hawa, hata kama ni kweli walihama vyama vyao kwa kufurahishwa na Magufuli, basi angalau wangekuwa na aibu ya kutuambia "nimehama chama changu kwa kuwa nimeipenda CCM na sera zake", sio "nimehama chama changu kwa kuwa nimempenda Magufuli". Huwezi kuwa mwanasiasa mwenye akili sawasawa ikiwa unahama chama chako kwenda CCM kwa kumfanya Magufuli ndio CCM.

Hebu fikiria, wewe unahama Chadema au CUF, na unajiunga na CCM kwa kuwa unafurahishwa na Magufuli. Sasa siku Magufuli akimaliza muda wake, au hata akishindwa uchaguzi wa 2020, utaenda aye Chato ukasaidiane kazi za nyumbani kwake na Mama Magufuli? Au tutarajie kwamba Magufuli akiondoka ikulu basi hawa wanasiasa itabidi watutangazie tena kurudi vyama walivyotoka kwa kuwa Magufuli sio raisi tena?

Kwa kweli akili ni nywele.
Aliyewaandikia barua alikuwa ni mmoja wao kazi yao ni kuedit jina tu
 
mkuu mbona umeandika mada shallow kuliko ilivyo kawaida yako? Yaani waende nae chato? sasa si ungeuliza hata kama wangehama CCM na kurudi kwenye vyama vyao? hili la kurudi chato umeandika kumshambulia Magufuli personally
Walivikashifu vyama vyao wanarudije tena?
Ishu kubwa wamefata maslai so siku maslai yao yakikoma nao watakoma kumfuata na kumfata mwenye maslai yao
 
Hakuna kitu kilichokuwa kikinishangaza - kama sio kuchefusha, kama kumsikia mwanasiasa, mwanaume au mwanamke mzima ambaye tunatumaini ana akili timamu na za kutosha, akitamka hadharani kwamba ameamua kutoka chama chake kwa kuwa eti amefurahishwa sana na Magufuli!

Hivi kweli hawa wanasiasa hawaoni aibu kutamka maneno kama haya mbele ya watu?

Wote siku zote tumeamini kwamba mwanasiasa anakuwa mwanachama wa chama fulani kwa kuamoni itikati au sera za chama hicho. Lakini mwanasiasa kuonyesha kwamba yeye suala la itikadi au sera za chama sio muhimu bali mtu fulani baki katika chama ndio anamvutia kiasi cha kuacha chama chake, huo ni ulevi na ujinga wa kisiasa ambao unatia hata aibu kuusema hdharani.

Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka kwamba kuna watu katika siasa ni malaya wa kisiasa (political prostitution). Naamini kabisa alikuwa akiongelea watu kama hawa pia. Na baadae aliongelea kwamba kumpenda mtu na kutumia mapenzi hayo kwa mtu binafsi kama msingi wa kufanya uamuzi wa kisiasa haifai kabisa, kwa kuwa kupenda kwa namna hiyo kunapaswa kuhusianishwe na kutoleana posa! Alisema peleka posa tukacheka bila kuelewa aliwaza mbali sana.

Mimi nilitegemea kwamba wanasiasa hawa, hata kama ni kweli walihama vyama vyao kwa kufurahishwa na Magufuli, basi angalau wangekuwa na aibu ya kutuambia "nimehama chama changu kwa kuwa nimeipenda CCM na sera zake", sio "nimehama chama changu kwa kuwa nimempenda Magufuli". Huwezi kuwa mwanasiasa mwenye akili sawasawa ikiwa unahama chama chako kwenda CCM kwa kumfanya Magufuli ndio CCM.

Hebu fikiria, wewe unahama Chadema au CUF, na unajiunga na CCM kwa kuwa unafurahishwa na Magufuli. Sasa siku Magufuli akimaliza muda wake, au hata akishindwa uchaguzi wa 2020, utaenda aye Chato ukasaidiane kazi za nyumbani kwake na Mama Magufuli? Au tutarajie kwamba Magufuli akiondoka ikulu basi hawa wanasiasa itabidi watutangazie tena kurudi vyama walivyotoka kwa kuwa Magufuli sio raisi tena?

Kwa kweli akili ni nywele.
Wala hawakwenda kumuunga mkono wala nini
Ni mkate tuu ndio waliokuwa wanatafuta
Haoo kama wataona mkate bado upo watabaki hukohuko baada Mh Magufuli
 
CCM ni wahuni sana. Hao wahamaji uchaguzi ujao watatoswa ubunge hatimae watapotea kwenye ramani ya siasa.

Nawahurumia sana.
 
wamefata chama chenyekuleta maendeleo.
Chadema hata ofisi hawana pamoja na Lowasa kuwahonga pesa za kutosha.
Labda Lowasa alisema hivyo, lakini navyokumbuka wengine wote walisema wanafurahishwa na Magufuli kama sababu kuu!
 
CCM ni wahuni sana. Hao wahamaji uchaguzi ujao watatoswa ubunge hatimae watapotea kwenye ramani ya siasa.

Nawahurumia sana.
Labda watarudi tena walikotoka wasipoteuliwa? Hivi Wasira si alikimbia CCM akaenda upinzani, kisha akarudi CCM? Hilo limeshafanyika sana tu.
 
Hao si watu wakuwaamini hata kidogo,hawana tofauti na mwanamke aliyemkimbia mumewe na kwenda kuwa nyumba ndogo
 
Kama ambavyo wanasiasa wanazijua akili zao wenyewe,hata wewe mfuasi wa wanasiasa inakulazimu uzijue akili zako mwenyewe,ukikubali tu kutumia akili za mwanasiasa,MAKOSAAAA.
Yani watakichezea tu kama vile wewe ndo mpira halafu we ndo wachezaji,yani wanakuteka kisaikolojia hadi unakua kama vile wamekuloga.
Ila walohama wamefata kile wanachokiamini.
Ila wanasiasa wenyewe huwa wanasema hakuna adui wa kweli wala rafiki wa kweli katika siasa,kujiongeza hapa ndo ishu kubwa.
 
These days a certain Party members and their immigrants know that to get a position in the government or in ccm they have to make absurd accusations against Mbowe or Chadema kama alivyofanya mbunge wa Siha akapata uwaziri na Waitara anavyotafuta kwa Nguvu zote sasa hivi. What a qualification?????
 
CCM Ina vyeo vingi mtu hata akishindwa ubunge viko kibao serikalini na kwenye chama .Hamna shida
Mleta mada ya CCM tuachie wenyewe
Ni ndoto nzuri Ila kikwazo in hapa
IMG_20200530_034525.jpg
 
Back
Top Bottom