kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Yaani akina wa kudadavua bia yangu na mgonjwa mtambuka wao ni watu wa mapambio tu, hahahaaaa wamechagua b7 bc...lkn jamaa moyoni ina wauma sema ndo wanakufa na tai shingoni...na hii imekuwa ikituongezea kura maana wengi wao inawakera hvyo wanaamua kutupigia kura...Namna wanavyo address hii issue ya wahamiaji inakatisah tamaa wafia chama, watu wanakuja leo kesho wana mashangingi ya Serikali - hata kama ningekuwa mimi roho lazima iniume aisee!!
Kwn c ndo kishawishi cha wao kwenda aliko?? Hivyo hata akiachana na siasa watamfuata aendakomkuu mbona umeandika mada shallow kuliko ilivyo kawaida yako? Yaani waende nae chato? sasa si ungeuliza hata kama wangehama CCM na kurudi kwenye vyama vyao? hili la kurudi chato umeandika kumshambulia Magufuli personally
Aliyewaandikia barua alikuwa ni mmoja wao kazi yao ni kuedit jina tuHakuna kitu kilichokuwa kikinishangaza - kama sio kuchefusha, kama kumsikia mwanasiasa, mwanaume au mwanamke mzima ambaye tunatumaini ana akili timamu na za kutosha, akitamka hadharani kwamba ameamua kutoka chama chake kwa kuwa eti amefurahishwa sana na Magufuli!
Hivi kweli hawa wanasiasa hawaoni aibu kutamka maneno kama haya mbele ya watu?
Wote siku zote tumeamini kwamba mwanasiasa anakuwa mwanachama wa chama fulani kwa kuamoni itikati au sera za chama hicho. Lakini mwanasiasa kuonyesha kwamba yeye suala la itikadi au sera za chama sio muhimu bali mtu fulani baki katika chama ndio anamvutia kiasi cha kuacha chama chake, huo ni ulevi na ujinga wa kisiasa ambao unatia hata aibu kuusema hdharani.
Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka kwamba kuna watu katika siasa ni malaya wa kisiasa (political prostitution). Naamini kabisa alikuwa akiongelea watu kama hawa pia. Na baadae aliongelea kwamba kumpenda mtu na kutumia mapenzi hayo kwa mtu binafsi kama msingi wa kufanya uamuzi wa kisiasa haifai kabisa, kwa kuwa kupenda kwa namna hiyo kunapaswa kuhusianishwe na kutoleana posa! Alisema peleka posa tukacheka bila kuelewa aliwaza mbali sana.
Mimi nilitegemea kwamba wanasiasa hawa, hata kama ni kweli walihama vyama vyao kwa kufurahishwa na Magufuli, basi angalau wangekuwa na aibu ya kutuambia "nimehama chama changu kwa kuwa nimeipenda CCM na sera zake", sio "nimehama chama changu kwa kuwa nimempenda Magufuli". Huwezi kuwa mwanasiasa mwenye akili sawasawa ikiwa unahama chama chako kwenda CCM kwa kumfanya Magufuli ndio CCM.
Hebu fikiria, wewe unahama Chadema au CUF, na unajiunga na CCM kwa kuwa unafurahishwa na Magufuli. Sasa siku Magufuli akimaliza muda wake, au hata akishindwa uchaguzi wa 2020, utaenda aye Chato ukasaidiane kazi za nyumbani kwake na Mama Magufuli? Au tutarajie kwamba Magufuli akiondoka ikulu basi hawa wanasiasa itabidi watutangazie tena kurudi vyama walivyotoka kwa kuwa Magufuli sio raisi tena?
Kwa kweli akili ni nywele.
Walivikashifu vyama vyao wanarudije tena?mkuu mbona umeandika mada shallow kuliko ilivyo kawaida yako? Yaani waende nae chato? sasa si ungeuliza hata kama wangehama CCM na kurudi kwenye vyama vyao? hili la kurudi chato umeandika kumshambulia Magufuli personally
Wala hawakwenda kumuunga mkono wala niniHakuna kitu kilichokuwa kikinishangaza - kama sio kuchefusha, kama kumsikia mwanasiasa, mwanaume au mwanamke mzima ambaye tunatumaini ana akili timamu na za kutosha, akitamka hadharani kwamba ameamua kutoka chama chake kwa kuwa eti amefurahishwa sana na Magufuli!
Hivi kweli hawa wanasiasa hawaoni aibu kutamka maneno kama haya mbele ya watu?
Wote siku zote tumeamini kwamba mwanasiasa anakuwa mwanachama wa chama fulani kwa kuamoni itikati au sera za chama hicho. Lakini mwanasiasa kuonyesha kwamba yeye suala la itikadi au sera za chama sio muhimu bali mtu fulani baki katika chama ndio anamvutia kiasi cha kuacha chama chake, huo ni ulevi na ujinga wa kisiasa ambao unatia hata aibu kuusema hdharani.
Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka kwamba kuna watu katika siasa ni malaya wa kisiasa (political prostitution). Naamini kabisa alikuwa akiongelea watu kama hawa pia. Na baadae aliongelea kwamba kumpenda mtu na kutumia mapenzi hayo kwa mtu binafsi kama msingi wa kufanya uamuzi wa kisiasa haifai kabisa, kwa kuwa kupenda kwa namna hiyo kunapaswa kuhusianishwe na kutoleana posa! Alisema peleka posa tukacheka bila kuelewa aliwaza mbali sana.
Mimi nilitegemea kwamba wanasiasa hawa, hata kama ni kweli walihama vyama vyao kwa kufurahishwa na Magufuli, basi angalau wangekuwa na aibu ya kutuambia "nimehama chama changu kwa kuwa nimeipenda CCM na sera zake", sio "nimehama chama changu kwa kuwa nimempenda Magufuli". Huwezi kuwa mwanasiasa mwenye akili sawasawa ikiwa unahama chama chako kwenda CCM kwa kumfanya Magufuli ndio CCM.
Hebu fikiria, wewe unahama Chadema au CUF, na unajiunga na CCM kwa kuwa unafurahishwa na Magufuli. Sasa siku Magufuli akimaliza muda wake, au hata akishindwa uchaguzi wa 2020, utaenda aye Chato ukasaidiane kazi za nyumbani kwake na Mama Magufuli? Au tutarajie kwamba Magufuli akiondoka ikulu basi hawa wanasiasa itabidi watutangazie tena kurudi vyama walivyotoka kwa kuwa Magufuli sio raisi tena?
Kwa kweli akili ni nywele.
Mkono mtupu haulambwiWala hawakwenda kumuunga mkono wala nini
Ni mkate tuu ndio waliokuwa wanatafuta
Haoo kama wataona mkate bado upo watabaki hukohuko baada Mh Magufuli
Unataka kuwe na wapiga deki wangapi? Hivi unavyoambiwa tayari wapiga deki wapo. Si kila mtu atapata hiyo nafasi. Kwani wewe kwa Mbowe unafanya kazi gani,?Uko tayari kupiga deki chooni pale lumumba??
Kwa hiyo kazi zao wanafanyia Lumumba au kwenye keyboard kama were?.wamefata chama chenyekuleta maendeleo.
Chadema hata ofisi hawana pamoja na Lowasa kuwahonga pesa za kutosha.
Labda Lowasa alisema hivyo, lakini navyokumbuka wengine wote walisema wanafurahishwa na Magufuli kama sababu kuu!wamefata chama chenyekuleta maendeleo.
Chadema hata ofisi hawana pamoja na Lowasa kuwahonga pesa za kutosha.
Labda watarudi tena walikotoka wasipoteuliwa? Hivi Wasira si alikimbia CCM akaenda upinzani, kisha akarudi CCM? Hilo limeshafanyika sana tu.CCM ni wahuni sana. Hao wahamaji uchaguzi ujao watatoswa ubunge hatimae watapotea kwenye ramani ya siasa.
Nawahurumia sana.
Ccm ni ya kila Mtanzania msiogope kujiunga
Atarejea kazi yake ile ya kumpikia chai Nchimbi.
Kwahiyo Waitara atakuwa anapika chai, huku Lijualikali anafagia ofisi!
Ni ndoto nzuri Ila kikwazo in hapaCCM Ina vyeo vingi mtu hata akishindwa ubunge viko kibao serikalini na kwenye chama .Hamna shida
Mleta mada ya CCM tuachie wenyewe