Wanasiasa wanajisahau sana. Hawajui uswazi ni kawaida watoto kulala chumba kimoja na wazazi sababu ya ugumu wa maisha

Wanasiasa wanajisahau sana. Hawajui uswazi ni kawaida watoto kulala chumba kimoja na wazazi sababu ya ugumu wa maisha

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mshahara wa mhindi sh 150,000 halafu chumba elfu 35 utaweza kupangisha vyumba viwili?

Acheni porojo

20230312_164540.jpg
 
Imenikumbusha kisa kimoja huku uswazi!

Baba alipiga çhoya kichwani ikabakia kumbukumbu ya njia ya kúrudi Nyumbani!

Alipofika home çhoya ikahamia kichwa cha chini, akaanza kudai mbunye kwa mkewe!

Mkewe akamsihi avute subra watoto hawajalala vizuri!

Dingi akang'ang'ania apewe mzigo, mama akaona isije akapewa kipigo akaachia!

Shughuli ilipokolea baba akaanza kugugumia mama chini akaanza kilio cha starehe!

Mwamba akäkata usingizi pale chini na zile kelele akajua ule ni úgomvi akachukua kisu cha ukili cha mamake akamkita babake kwenye tako, huku akitaka kumuongeza kingine na kumuonya babake aache úgomvi!

Çhoya yote ikaisha kichwa cha juu na chini, shuka aliyoweka kama ukuta wa chumba ikadondoka, mama akabakia nilikwambia baba bilahi nilikwambia unaona sasa?!....
 
Mshahara wa mhindi sh 150,000 halafu chumba elfu 35 utaweza kupangisha vyumba viwili?

Acheni porojo

View attachment 2547635
Bi mkubwa hakuna mtu anapenda kulala chumba kimoja na watoto ila mazingira yanatulazimisha. Hebu tafakari unanilipa shilingi laki 3 mpaka 7 nina mke na WATOTO wawili. Mmoja wa kike na mwingine wa kiume. Ili kukidhi kile unachokisema nalazimika kutafuta nyumba ya vyumba vitatu. Kwa mkoa wa DSM hapo tunaongelea nikapange nyumba nzima ambayo kodi yake inaanzia laki 5 kwa mwezi na kuendelea kulingana na maeneo. Naweza kumudu jambo hilo?
Hebu msijiangalie zaidi ninyi na kuongea kwenye vipaza sauti bila kutafakari. Huyu mfanyakazi wa ngazi ya chini mmembana mpaka hata pa kupulia hana. Chukuwa mfano maisha ya watumishi wa serikali kama polisi na magereza umetembelea makazi yao? Wanaeupukaje kulala na watoto?
 
Back
Top Bottom