Wanasiasa wanaolewa vyeo wanaweza kujishusha kama Said Bakhresa?, kuna somo kwa wanasiasa vijana kutolewa vyeo

Wafanyabiashara na wanasiasa ni kitu kimoja- Most of them are evil, very evil. Huyo unayemzungumzia unamjua vizuri kweli? Source ya empire yake unaijua?

JKN watu wanasema alikuwa mwema kutokana na maneno yake public, deep down alikuwa katili kwelikweli, watu walikufa, walipotea, walihamishwa nk.
 
Hakika kabisa !!
 
Sio kila linalosemwa ni kweli !!
 
Sio kila linalosemwa ni kweli !!
Unajua kwann bandari kavu yake ilifungwa?

And what happened baada ya kutakiwa alipe fair share ya kodi kama wengine?

Katika list ya wafanyabiashara walipa kodi wazuri ulishawahi kumsikia akitajwa? Why?

Unafikiri wafanyabiashara kama Reginald Mengi waliokuwa wanalalamika juu ya mizani isiyokuwa sawa ya ulipaji wa kodi miongoni mwa wafanyabiashara wakubwa, alikuwa anaongea bila basis? Kama hakukua na basis, kwann hawakumpeleka mahakamani?

Kwann makontena yalipokuwa yanafika bandari yake yalikuwa yanapotea ghafla? How kabla ya kulipiwa kodi?
 
Hapa kwa JKN nakubaliana na wewe jamaa alikuwa snitch Sana.
 
Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…