JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Wanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii vizuri.
Wakiwa kwenye mikutano ya hadhara hadi wanaogopa kulitaja jina la JPM kwa mazuri yoyote aliyo wahi kufanya katika nchi hii. Maana wakitaja tu shangwe za wananchi zinavuma kila kona hadi kwenye mitandao. Wakilazimisha kutaja mabaya wananchi wanaziba masikio.
Chonde chonde wanasiasa msitugombanishe na marehemu. Sisi hakutukosea hadi anaingia kablini. Na tumeshakataa kugombanishwa, hilo mlielewe.
Siku tukipata madaraka tu tutajenga makumbusho kubwa sana ya kuonesha namna gani mwamba alijenga miundo mbinu ya nchi hii. Barabara, Reli, Umeme, Ikulu Dodoma, Hospitals. n.k.