Wanasiasa wanataka kutuchonganisha na Hayati Magufuli

Nakuhakikishia tukilala kidogo tu halitakamilika.Kaa ukijua hilo.

Mambo ni Mengi sana.
Hahahhaha

Wewe upo dunia ipi? Bwawa na maji yashafunguliwa yajae, hivi uko wapi?

Nimekuuliza juu huko hujajibu. Swali gumu kwako?
 
Wanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii vizuri.

Wakiwa kwenye mikutano ya hadhara hadi wanaogopa kulitaja jina la JPM kwa mazuri yoyote aliyo wahi kufanya katika nchi hii. Maana wakitaja tu shangwe za wananchi zinavuma kila kona hadi kwenye mitandao. Wakilazimisha kutaja mabaya wananchi wanaziba masikio.

Chonde chonde wanasiasa msitugombanishe na marehemu. Sisi hakutukosea hadi anaingia kablini. Na tumeshakataa kugombanishwa, hilo mlielewe.

Siku tukipata madaraka tu tutajenga makumbusho kubwa sana ya kuonesha namna gani mwamba alijenga miundo mbinu ya nchi hii. Barabara, Reli, Umeme, Ikulu Dodoma, Hospitals. n.k.
.
Screenshot_20230316-012242.jpg
 
Hahahhaha

Wewe upo dunia ipi? Bwawa na maji yashafunguliwa yajae, hivi uko wapi?

Nimekuuliza juu huko hujajibu. Swali gumu kwako?
Nazani unajua ninachokimaanisha.

Mengine uko nje ya ninacho kiandika mimi. Ubataka unitoe kwenye reli?. Huwezi.

Kufanikiwa kwa mradi huo ndio furaha yabgu.
 
Yaani Mungu atuonyeshe hilo mapema kabisa kifo cha Rais wetu mpendwa kina maswali mengi kuliko majibu
-Kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda kuna majibu?
-Kushambuliwa kwa Lissu, kung'olewa kwa CCTV cameras na kufichwa kwa footages za tukio kuna majibu?

Haumuombi huyo 'mungu' wako na akuonyeshe na hayo mapema?
 
Wanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii vizuri.

Wakiwa kwenye mikutano ya hadhara hadi wanaogopa kulitaja jina la JPM kwa mazuri yoyote aliyo wahi kufanya katika nchi hii. Maana wakitaja tu shangwe za wananchi zinavuma kila kona hadi kwenye mitandao. Wakilazimisha kutaja mabaya wananchi wanaziba masikio.

Chonde chonde wanasiasa msitugombanishe na marehemu. Sisi hakutukosea hadi anaingia kablini. Na tumeshakataa kugombanishwa, hilo mlielewe.

Siku tukipata madaraka tu tutajenga makumbusho kubwa sana ya kuonesha namna gani mwamba alijenga miundo mbinu ya nchi hii. Barabara, Reli, Umeme, Ikulu Dodoma, Hospitals. n.k.

Wanasiasa wahuni walioshindwa kuendesha nchi,wanaonea wivu kazi nzuri zilizo fanywa na jpm kwa muda mfupi sana.
 
Wanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii vizuri.

Wakiwa kwenye mikutano ya hadhara hadi wanaogopa kulitaja jina la JPM kwa mazuri yoyote aliyo wahi kufanya katika nchi hii. Maana wakitaja tu shangwe za wananchi zinavuma kila kona hadi kwenye mitandao. Wakilazimisha kutaja mabaya wananchi wanaziba masikio.

Chonde chonde wanasiasa msitugombanishe na marehemu. Sisi hakutukosea hadi anaingia kablini. Na tumeshakataa kugombanishwa, hilo mlielewe.

Siku tukipata madaraka tu tutajenga makumbusho kubwa sana ya kuonesha namna gani mwamba alijenga miundo mbinu ya nchi hii. Barabara, Reli, Umeme, Ikulu Dodoma, Hospitals. n.k.
Kumbuka January Makamba anatoa ngao za kutambua mchango wa bwawa la Nyerere kwa wastaafu lilipotajwa jina la hayati Magufuli,

SHANGWE KAMA LOOOTE

Hakika alikuwa mwamba kwerikweri
 
-Kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda kuna majibu?
-Kushambuliwa kwa Lissu, kung'olewa kwa CCTV cameras na kufichwa kwa footages za tukio kuna majibu?

Haumuombi huyo 'mungu' wako na akuonyeshe na hayo mapema?
Hao ulowataja siwajui
 
Jina la JPM likipelekwa kwa kuhani na mwalimu wa kiroho pale Ngomeni (Kimara temboni) na watu sahihi kisha wakafuata maelekezo ya kufuata ikiambatana na vifaa vya kiroho na kufunga kwa kati ya siku 7-14 ukweli utabainika bayana ni nani alihusika kusababisha mauti yake.
Ugonjwa unaotajwa unaweza kusababishwa tu kama kichaka cha kukwepa kujulikana kwa macho kwamba ni nani hasa alipanga na kutekeleza kilichotokea. Watu watabaki wana maswali yanayohitaji majibu hata kama itachukua miaka 10 ijayo.

Hapo Ngomeni ndio suluhisho la kile kinachowatatiza wananchi badala ya kutumia siasa

Hakuna suluhisho lolote litapatikana. Hakuwa Mungu kwamba asingeondoka, masuala ta kusema ilikuwa hivi iliikuwa vile ni suala mtambuka.
Si kwamba siamini katika maombi ila mambo mengine ni upotev wa muda, seriikal ilishatolea maelezo. kama kuna mwenye ushahid zaid aripoti kwa vyombo husika
 
Wanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii vizuri.

Wakiwa kwenye mikutano ya hadhara hadi wanaogopa kulitaja jina la JPM kwa mazuri yoyote aliyo wahi kufanya katika nchi hii. Maana wakitaja tu shangwe za wananchi zinavuma kila kona hadi kwenye mitandao. Wakilazimisha kutaja mabaya wananchi wanaziba masikio.

Chonde chonde wanasiasa msitugombanishe na marehemu. Sisi hakutukosea hadi anaingia kablini. Na tumeshakataa kugombanishwa, hilo mlielewe.

Siku tukipata madaraka tu tutajenga makumbusho kubwa sana ya kuonesha namna gani mwamba alijenga miundo mbinu ya nchi hii. Barabara, Reli, Umeme, Ikulu Dodoma, Hospitals. n.k.
Tena Kwa kipindi kifupi sana!! he was a genius RIP MAGU
 
GO Lissu , asali itageuka kwinini mwaka huu mwache mbowe aibugie naona umeanza kuweka kijinga kwenye tunnel
 
Back
Top Bottom