Wanasiasa wanataka kutuchonganisha na Hayati Magufuli

Wanasema mwizi na muuaji.

Hadi sasa wizi na mauaji yapo ila hawawezi kusema haya kwa sababu wenye visemeo wanalambishana asali.
Ufisadi upo wala hakuna awamu haikua na ufisadi na hili ni lawama kwa utawala mzima CCM! But upande wa mauaji na uteswaji na kutekwa, je akina nan umeona kweny hbr wameuwawa na kuwekwa kweny viroba, wapinzani gan umesikia wamejeruhiwa na kuuwawa, umesikia wapinzani wamepewa kesi na kutupwa lupango?
 
Kama waneamua kuungana watafungwa vipi?.
 
Huu upuuzi wenu kafanyieni kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wewe umejenga nini kipindi cha mwendazake?
 
Kila kilichofanyika wazi kinajulikana sio kila kitu alifanya yeye. Ila walamba asali wanataka tuwaamini wao as if sisi hatukuwepo.
Miradi yote iliyoanzishwa wakati wa mwendazake kaikuta kwenye ilani ya CCM.

Kumbuka hilo.
 
Miradi yote iliyoanzishwa wakati wa mwendazake kaikuta kwenye ilani ya CCM.

Kumbuka hilo.
Uko sahihi. Maamuzi ya kujenga ndio hoja..tangu 1970+ Ilani zilikuwepo.

Ila wenzako sasa..hawataki hilo Bwawa la Nyerere lijengwe. .yaani tukikaa kiboya tu litakamilika mwaka 2030.
 
Uko sahihi. Maamuzi ya kujenga ndio hoja..tangu 1970+ Ilani zilikuwepo.

Ila wenzako sasa..hawataki hilo Bwawa la Nyerere lijengwe. .yaani tukikaa kiboya tu litakamilika mwaka 2030.
Mwenzangu gani hataki lijengwe? Mwendazake alipokufa lilikuwa asilimia ngapi ya ujenzi na sasa lipo asilimia ngapi ya ujenzi?
 
Mwenzangu gani hataki lijengwe? Mwendazake alipokufa lilikuwa asilimia ngapi ya ujenzi na sasa lipo asilimia ngapi ya ujenzi?
Nakuhakikishia tukilala kidogo tu halitakamilika.Kaa ukijua hilo.

Mambo ni Mengi sana.
 
Jamani tuweni wa kuelewa, je! kwanini serikali ya ccm, hawakuutangazia umma kwamba hayati magufuri ni mgonjwa, ikaja kutangaza kifo chake tu?
Utangaze ugonjwa wa JPM, aliyezuia kutangaza vifo vya Covid-19, huku hujui anaumwa kiasi gani, UNAJIPENDA?
... Ambaye angetangaza ugonjwa, halafu mzee Magu apate nafuu, angejifunza maana halisi ya BULLDOZER!
😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…