HahahhahaNakuhakikishia tukilala kidogo tu halitakamilika.Kaa ukijua hilo.
Mambo ni Mengi sana.
.Wanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii vizuri.
Wakiwa kwenye mikutano ya hadhara hadi wanaogopa kulitaja jina la JPM kwa mazuri yoyote aliyo wahi kufanya katika nchi hii. Maana wakitaja tu shangwe za wananchi zinavuma kila kona hadi kwenye mitandao. Wakilazimisha kutaja mabaya wananchi wanaziba masikio.
Chonde chonde wanasiasa msitugombanishe na marehemu. Sisi hakutukosea hadi anaingia kablini. Na tumeshakataa kugombanishwa, hilo mlielewe.
Siku tukipata madaraka tu tutajenga makumbusho kubwa sana ya kuonesha namna gani mwamba alijenga miundo mbinu ya nchi hii. Barabara, Reli, Umeme, Ikulu Dodoma, Hospitals. n.k.
Nazani unajua ninachokimaanisha.Hahahhaha
Wewe upo dunia ipi? Bwawa na maji yashafunguliwa yajae, hivi uko wapi?
Nimekuuliza juu huko hujajibu. Swali gumu kwako?
-Kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda kuna majibu?Yaani Mungu atuonyeshe hilo mapema kabisa kifo cha Rais wetu mpendwa kina maswali mengi kuliko majibu
Ajabu na kweli, eti walio hai wanagombanishwa na maiti iliyokwisha zikwa.Sasa unagombanishwa na mtu ambaye hayuko duniani?
Wanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii vizuri.
Wakiwa kwenye mikutano ya hadhara hadi wanaogopa kulitaja jina la JPM kwa mazuri yoyote aliyo wahi kufanya katika nchi hii. Maana wakitaja tu shangwe za wananchi zinavuma kila kona hadi kwenye mitandao. Wakilazimisha kutaja mabaya wananchi wanaziba masikio.
Chonde chonde wanasiasa msitugombanishe na marehemu. Sisi hakutukosea hadi anaingia kablini. Na tumeshakataa kugombanishwa, hilo mlielewe.
Siku tukipata madaraka tu tutajenga makumbusho kubwa sana ya kuonesha namna gani mwamba alijenga miundo mbinu ya nchi hii. Barabara, Reli, Umeme, Ikulu Dodoma, Hospitals. n.k.
Kwani nimesema alishika mtutu?Unazania JPM alishika mtutu?
Acha akili za kushikiwa.
Kumbuka January Makamba anatoa ngao za kutambua mchango wa bwawa la Nyerere kwa wastaafu lilipotajwa jina la hayati Magufuli,Wanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii vizuri.
Wakiwa kwenye mikutano ya hadhara hadi wanaogopa kulitaja jina la JPM kwa mazuri yoyote aliyo wahi kufanya katika nchi hii. Maana wakitaja tu shangwe za wananchi zinavuma kila kona hadi kwenye mitandao. Wakilazimisha kutaja mabaya wananchi wanaziba masikio.
Chonde chonde wanasiasa msitugombanishe na marehemu. Sisi hakutukosea hadi anaingia kablini. Na tumeshakataa kugombanishwa, hilo mlielewe.
Siku tukipata madaraka tu tutajenga makumbusho kubwa sana ya kuonesha namna gani mwamba alijenga miundo mbinu ya nchi hii. Barabara, Reli, Umeme, Ikulu Dodoma, Hospitals. n.k.
Swali zuri sana, hawa wahutu wanazingua sana.Hivi kuna mtu anachonganishwa na maiti?
Hao ulowataja siwajui-Kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda kuna majibu?
-Kushambuliwa kwa Lissu, kung'olewa kwa CCTV cameras na kufichwa kwa footages za tukio kuna majibu?
Haumuombi huyo 'mungu' wako na akuonyeshe na hayo mapema?
Jina la JPM likipelekwa kwa kuhani na mwalimu wa kiroho pale Ngomeni (Kimara temboni) na watu sahihi kisha wakafuata maelekezo ya kufuata ikiambatana na vifaa vya kiroho na kufunga kwa kati ya siku 7-14 ukweli utabainika bayana ni nani alihusika kusababisha mauti yake.
Ugonjwa unaotajwa unaweza kusababishwa tu kama kichaka cha kukwepa kujulikana kwa macho kwamba ni nani hasa alipanga na kutekeleza kilichotokea. Watu watabaki wana maswali yanayohitaji majibu hata kama itachukua miaka 10 ijayo.
Hapo Ngomeni ndio suluhisho la kile kinachowatatiza wananchi badala ya kutumia siasa
Tena Kwa kipindi kifupi sana!! he was a genius RIP MAGUWanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii vizuri.