Wanasiasa watano waliokufa kwa kusimamia walichokiamini! R.I.P

Kwani Tundu na Mbowe ni wana siasa ama wapiga kelele tu?
Siasa huwa na kelele mkuu hasa nchi hizi za ulimwengu wa tatu ambao upinzani unachukuliwa kama uadui. Hao hapo wanaswekwa ndani kila siku kwa ajiri ya kufanya siasa hivyo misimamo yao ndo inawacost
 
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana.

Hivi Sokoine alipambana na wahujumu uchumi, au serikali ya kidikteta ndio iliwapa jina la uhujumu uchumi watu waliotafuta mali kwa jasho lao kisa wamekataa kuunga juhudi za sera ya ujamaa na kujitegemea?
 
Huyo babu mtoe hapo co mahala pake, zulma nyingi alifanya hasitahili kuwepo kwenye list mtoe haraka.

Mwinyi hujamweka, why? Tena uyu ni no 1.

Magu mlimsema na kumpinga kwenye utawala wake, and now mnayakumbuka mazuri yake baada ya kufa 😁 ila ninyi hamueleweki mko pande zipi!!!😁

Mama samia naye akictaafu mtamkumbuka, na kumponda ataeingia. Siasa ni mchezo mchafu sana, hujui binadamu anacholalamikia ni nini. Ndiyomaana nimejiweka mbari na siasa.
 
1: Julius Kambalage Nyerere
Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza kuuza nchi na kusababisha yote yanayotutesa leo ndiye mtu ambaye hakuiba hata mia ya Nchi hii akiwa ikulu.

2: Edward Sokoine
Mafisadi walimtengenezea ajali baada ya kuona alisimama kidete na wahujumu uchumi hakika alikufa akiwa na msimamo wake juu ya mafisdi na wahujumu uchumi wa Nchi hii.

3: Amina Chifupa
Huyu alikufa akipambana na magenge ya madawa ya kulevya alihongwa dollar nyingi ili asaliti mapambano lakini mpaka anakufa hakusita kusimama kwenye msimamo wake.

4: Deo Filikunjombe
Uzalendo uliotukuka mafisadi ya umeme Nchi hii yakampoteza hakika kifo chake kina uchungu mkubwa Sana nyuma yake. Akiwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alisimama kidete kutetea pesa za umma juu ya mafisadi wa umeme wa Nchi hii. Watu wakamuuza kwa kuhofia angekuja kuwa PM au Rais badae.

5: John Pombe Magufuli
R.I.P ingawa tulipishana baadhi ya Mambo lakini utabaki kwenye vitabu vya kumbukumbu Kama mwanaume mwenye msimamo mkali kwenye janga la corona. Ulisimama ulisimama kwenye ili umeacha athari kubwa kwa taifa kiufupi mwanaume mpambanaji ingawa mabeberu pamoja na makaburu weusi kukupoteza ila Sasa duniani inaona ulicho kisimamia juu ya swala la corona.

Najua Kuna watu wengi ambao wanapenda kuwa wanasiasa ila ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri simamia unachokiamini mpaka mwisho kuwa tayari kufanya chochote kutetea msimamo wako, kuwa tayari hata kufa ukitetea msimamo wake.

Tundu Lissu na Mbowe nao uwenda wakaja kuwa kwenye kitabu hiki kwa misimamo yao isiyoyumba juu ya siasa ya Nchi hii.

R.I.P wote, kubali kufa sio kulala!!

Hapo namba 5 hata uandike mpaka mwisho wa Dunia sikubaliani na wewe hata 0.0000001%.
 
Sasa leo Mzanzibari anakuja kukopa hela za kukabiliana na corona anaenda kujenga madarasa utafikiri corona iliangusha madarasa ama madaraja na corona yenyewe haipo.
Nimeupenda sana huu uchambuzi wako. Corona na ujenzi wa madarasa wapi na wapi?
 
Huyo babu mtoe hapo co mahala pake, zulma nyingi alifanya hasitahili kuwepo kwenye list mtoe haraka.

Mwinyi hujamweka, why? Tena uyu ni no 1.

Magu mlimsema na kumpinga kwenye utawala wake, and now mnayakumbuka mazuri yake baada ya kufa 😁 ila ninyi hamueleweki mko pande zipi!!!😁

Mama samia naye akictaafu mtamkumbuka, na kumponda ataeingia. Siasa ni mchezo mchafu sana, hujui binadamu anacholalamikia ni nini. Ndiyomaana nimejiweka mbari na siasa.
Kumbe Mwinyi Ni marehemu?
 
1: Julius Kambalage Nyerere
Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza kuuza nchi na kusababisha yote yanayotutesa leo ndiye mtu ambaye hakuiba hata mia ya Nchi hii akiwa ikulu.

2: Edward Sokoine
Mafisadi walimtengenezea ajali baada ya kuona alisimama kidete na wahujumu uchumi hakika alikufa akiwa na msimamo wake juu ya mafisdi na wahujumu uchumi wa Nchi hii.

3: Amina Chifupa
Huyu alikufa akipambana na magenge ya madawa ya kulevya alihongwa dollar nyingi ili asaliti mapambano lakini mpaka anakufa hakusita kusimama kwenye msimamo wake.

4: Deo Filikunjombe
Uzalendo uliotukuka mafisadi ya umeme Nchi hii yakampoteza hakika kifo chake kina uchungu mkubwa Sana nyuma yake. Akiwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alisimama kidete kutetea pesa za umma juu ya mafisadi wa umeme wa Nchi hii. Watu wakamuuza kwa kuhofia angekuja kuwa PM au Rais badae.

5: John Pombe Magufuli
R.I.P ingawa tulipishana baadhi ya Mambo lakini utabaki kwenye vitabu vya kumbukumbu Kama mwanaume mwenye msimamo mkali kwenye janga la corona. Ulisimama ulisimama kwenye ili umeacha athari kubwa kwa taifa kiufupi mwanaume mpambanaji ingawa mabeberu pamoja na makaburu weusi kukupoteza ila Sasa duniani inaona ulicho kisimamia juu ya swala la corona.

Najua Kuna watu wengi ambao wanapenda kuwa wanasiasa ila ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri simamia unachokiamini mpaka mwisho kuwa tayari kufanya chochote kutetea msimamo wako, kuwa tayari hata kufa ukitetea msimamo wake.

Tundu Lissu na Mbowe nao uwenda wakaja kuwa kwenye kitabu hiki kwa misimamo yao isiyoyumba juu ya siasa ya Nchi hii.

R.I.P wote, kubali kufa sio kulala!!

Huyo #5 1.5tr/- alikuwa na majibu gani?

Huyo #5 kuhusu kina Ben, Mawazo, Azory, Lissu, kina Lijenje na wa kwenye viroba alikuwa na majibu gani?

Huyo #5 miradi ya Chatto alikuwa akiipitisha mwenyewe?

Huyo #5 mikataba ya madege aliwahi kujiweka wazi?

Huyo #5 - yako mengi mkuu.
 
Ongezea na “maendeleo hayana vyama!”
 
Hakuna binadamu asiyefanya makosa

Ila ilo haliondoi ukweli kwamba kwenye democracy Mbowe na Lissu wamesimama kwa miaka mingi Sana!!
Hapa juu sipingani na ww.. Ni kweli hakuna binadam asiefanya makosa lkn sio yale yanayolenga makusudi kbs kuliangamiza taifa. Ww umeshasema fulan ni fisadi namba 1 nchini na ushahidi unao "in Mnyika's voice". Halafu unampigania tena aje kuwa raisi wa nchi ili aende akapige zaidi ya zile alizopiga akiwa sio raisi (maana hakuna atakaem control na ukizingatia ana kinga)
Wanasimamia wanachokiamini!!.
Hapana hawasimamii wanachokiamini maana waliamini kuwa fulan ni fisadi lkn baadae wakatoka kwenye reli wenyewe na kusema sio fisadi.
 
Makala nzuri.

Hata mimi nilipingana na Magufuli kwenye suala la corona ila naomba nikiri kwamba mwenzetu alikua mbele ya wakati, aliwahi kuona mbele. Leo hii ndio namuelewa jamaa.

Sasa leo Mzanzibari anakuja kukopa hela za kukabiliana na corona anaenda kujenga madarasa utafikiri corona iliangusha madarasa ama madaraja na corona yenyewe haipo.

Anyway, wapumzike kwa amani.
Usichokijua ni kuwa uo ni Mkopo kama Mikopo Mingine
Isipokuwa sera za kidunia zinalazimisha mkopo uweoneshe ni namba gani utapambana na korona
Mkopo aliochukua mama hatujalazimishwa wala kuwekewa masharti zaidi tumeweka kipaumbele vyet sisi wenyewe
Mataifa kama uganda na Kenya walilazimishwa kununua chanjo, barakoa nk
Mama kachukua mkopo wa kawaida tuu lakini uliowekwa katika fungu la Korona kwa sera za wakopeshaji
 
Nafikiri hivi vibapunguza credibility yake lait angejiondoa kwenye ukandamizaji nazani angekuwa Rais bora Afrika na Duniani

Back
Top Bottom