Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Mkuu unasema kweli🤔..ndy nasikia kwakoZito kamuoa au hujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unasema kweli🤔..ndy nasikia kwakoZito kamuoa au hujui
Zulma ndio nini boss!Huyo babu mtoe hapo co mahala pake, zulma nyingi alifanya hasitahili kuwepo kwenye list mtoe haraka.
Uko biased, unamwacha wapi pro. baregu, ndesamburo,bob makani, seif mtikila nk.1: Julius Kambalage Nyerere
Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza kuuza nchi na kusababisha yote yanayotutesa leo ndiye mtu ambaye hakuiba hata mia ya Nchi hii akiwa ikulu.
2: Edward Sokoine
Mafisadi walimtengenezea ajali baada ya kuona alisimama kidete na wahujumu uchumi hakika alikufa akiwa na msimamo wake juu ya mafisdi na wahujumu uchumi wa Nchi hii.
3: Amina Chifupa
Huyu alikufa akipambana na magenge ya madawa ya kulevya alihongwa dollar nyingi ili asaliti mapambano lakini mpaka anakufa hakusita kusimama kwenye msimamo wake, pamoja na mmewe kuwa muuza madawa mkubwa.
4: Deo Filikunjombe
Uzalendo uliotukuka mafisadi ya umeme Nchi hii yakampoteza hakika kifo chake kina uchungu mkubwa Sana nyuma yake. Akiwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alisimama kidete kutetea pesa za umma juu ya mafisadi wa umeme wa Nchi hii. Watu wakamuuza kwa kuhofia angekuja kuwa PM au Rais badae.
5: John Pombe Magufuli
R.I.P ingawa tulipishana baadhi ya Mambo lakini utabaki kwenye vitabu vya kumbukumbu Kama mwanaume mwenye msimamo mkali kwenye janga la corona. Ulisimama ulisimama kwenye ili umeacha athari kubwa kwa taifa kiufupi mwanaume mpambanaji ingawa mabeberu pamoja na makaburu weusi kukupoteza ila Sasa duniani inaona ulicho kisimamia juu ya swala la corona.
Najua Kuna watu wengi ambao wanapenda kuwa wanasiasa ila ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri simamia unachokiamini mpaka mwisho kuwa tayari kufanya chochote kutetea msimamo wako, kuwa tayari hata kufa ukitetea msimamo wake.
Tundu Lissu na Mbowe nao uwenda wakaja kuwa kwenye kitabu hiki kwa misimamo yao isiyoyumba juu ya siasa ya Nchi hii.
R.I.P wote, kubali kufa sio kulala!!
Chifu ujaelewa uzi wangu achana naoHapana hawasimamii wanachokiamini maana waliamini kuwa fulan ni fisadi lkn baadae wakatoka kwenye reli wenyewe na kusema sio fisadi.
Namba tano alikuwa kwa laana. Ule uchafuzi kule zanzibar asingedumu1: Julius Kambalage Nyerere
Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza kuuza nchi na kusababisha yote yanayotutesa leo ndiye mtu ambaye hakuiba hata mia ya Nchi hii akiwa ikulu.
2: Edward Sokoine
Mafisadi walimtengenezea ajali baada ya kuona alisimama kidete na wahujumu uchumi hakika alikufa akiwa na msimamo wake juu ya mafisdi na wahujumu uchumi wa Nchi hii.
3: Amina Chifupa
Huyu alikufa akipambana na magenge ya madawa ya kulevya alihongwa dollar nyingi ili asaliti mapambano lakini mpaka anakufa hakusita kusimama kwenye msimamo wake, pamoja na mmewe kuwa muuza madawa mkubwa.
4: Deo Filikunjombe
Uzalendo uliotukuka mafisadi ya umeme Nchi hii yakampoteza hakika kifo chake kina uchungu mkubwa Sana nyuma yake. Akiwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alisimama kidete kutetea pesa za umma juu ya mafisadi wa umeme wa Nchi hii. Watu wakamuuza kwa kuhofia angekuja kuwa PM au Rais badae.
5: John Pombe Magufuli
R.I.P ingawa tulipishana baadhi ya Mambo lakini utabaki kwenye vitabu vya kumbukumbu Kama mwanaume mwenye msimamo mkali kwenye janga la corona. Ulisimama ulisimama kwenye ili umeacha athari kubwa kwa taifa kiufupi mwanaume mpambanaji ingawa mabeberu pamoja na makaburu weusi kukupoteza ila Sasa duniani inaona ulicho kisimamia juu ya swala la corona.
Najua Kuna watu wengi ambao wanapenda kuwa wanasiasa ila ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri simamia unachokiamini mpaka mwisho kuwa tayari kufanya chochote kutetea msimamo wako, kuwa tayari hata kufa ukitetea msimamo wake.
Tundu Lissu na Mbowe nao uwenda wakaja kuwa kwenye kitabu hiki kwa misimamo yao isiyoyumba juu ya siasa ya Nchi hii.
R.I.P wote, kubali kufa sio kulala!! Happy Nyerere day.
ID za kulipwa hizi matatizo sana.Akili zimeanza kurudi
Akiri zimeanza kurejea baada ya mama kuuupiga mwingi, tena unabahati yule kuwadi wa mashoga angeupata ungelia sana
Jamaa kapiga kona ya hatari sana,inaonyesha kuna sehemu kaguswa na huu utawala. Leo hii anamsifia Kayafa,aisee.Hata wewe.
Jiwe bado ana kutandika hata baada ya kufaUmeharibu uzi wako kwa kumuweka Jiwe. Anyway ni mtazamo wangu mimi kama mimi.
Anatufanya wote wajinga humu,yaani Mpakanjia,Mudy Nondo hizi namba zote zilikuwa marafiki wakudumu wauza unga na utapeli wa Magari Jijini.Wewe nawe Bora ulijistaafisha tu, tangu umerudi umekuwa mtu wa kuposti pumba tupu humu, Amina Chifupa apambane na wauza madawa wakati mumewe ndiye alikuwa muuzaji bingwa?
AiseeeMagu kafa kwa COVID. Anaenziwa na wapumbavu na vichwa maji tu.
Magu alikuwa mpenda SIFA kupindukia anaeabudu PESA.
Ndio maana wakati COVID imeingia alianza kuleta maigizo uchwara ya kusalimiana kwa miguu na Maalim Sharif.
Na baadaye akafunga shule na kuhamasisha kunawa mikono.
Alivyokuja kuona mambo ya Curfew na Lockdown ndio akapiga U-turn na kujifanya Covid imeisha. Wakati huo ameshachukua pesa za COVid kutoka EU.
Utawekaje Lockdown wakati TRA wanakusanya wastani wa 1TRI halafu 700B unalipa madeni ya mikopo na bado unatakuwa kulipa mishahara ??
Magu wa a great fool
Hujajibu swali bado, Magufuli alikuwa mbele ya wakati kivipi?Kua mbele ya wakati ama ahead of time ni kua na new ideas a long time before other people start to think in the same way as you thought it.
Mfano, mwaka 1958 kuna mtu alisema ama aliandika kwenye makala kwamba huko mbele kutakuja kua na simu za mkononi ndogo sana mtu ataembea nazo na mambo kama hayo, watu hawakumuelewa walimuona kama kichaa anawaza vitu ambavyo havipo ama visivyowezekana.
Lakini miaka 25 baadae , Dr. Cooper aligundua namna ya kutengeneza simu ya kuhamisha ama mobile phone ingawa ilikua na uzito wa karibu kilo 3 ila iliwezekana.
Magufuli kwenye covid alikua mbele ya muda.
Wakati ule ulimnanga sana JPM. Ukimuangalia leo kwa angle tofauti, alikuja kwa mission maalumu. Haya aliyotuachia nyuma yetu, yanatukumbusha kuwa kuna wakati, mtu wa haiba ya JPM lazima atokee ili mambo yakae sawa.1: Julius Kambalage Nyerere
Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza kuuza nchi na kusababisha yote yanayotutesa leo ndiye mtu ambaye hakuiba hata mia ya Nchi hii akiwa ikulu.
2: Edward Sokoine
Mafisadi walimtengenezea ajali baada ya kuona alisimama kidete na wahujumu uchumi hakika alikufa akiwa na msimamo wake juu ya mafisdi na wahujumu uchumi wa Nchi hii.
3: Amina Chifupa
Huyu alikufa akipambana na magenge ya madawa ya kulevya alihongwa dollar nyingi ili asaliti mapambano lakini mpaka anakufa hakusita kusimama kwenye msimamo wake, pamoja na mmewe kuwa muuza madawa mkubwa.
4: Deo Filikunjombe
Uzalendo uliotukuka mafisadi ya umeme Nchi hii yakampoteza hakika kifo chake kina uchungu mkubwa Sana nyuma yake. Akiwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alisimama kidete kutetea pesa za umma juu ya mafisadi wa umeme wa Nchi hii. Watu wakamuuza kwa kuhofia angekuja kuwa PM au Rais badae.
5: John Pombe Magufuli
R.I.P ingawa tulipishana baadhi ya Mambo lakini utabaki kwenye vitabu vya kumbukumbu Kama mwanaume mwenye msimamo mkali kwenye janga la corona. Ulisimama ulisimama kwenye ili umeacha athari kubwa kwa taifa kiufupi mwanaume mpambanaji ingawa mabeberu pamoja na makaburu weusi kukupoteza ila Sasa duniani inaona ulicho kisimamia juu ya swala la corona.
Najua Kuna watu wengi ambao wanapenda kuwa wanasiasa ila ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri simamia unachokiamini mpaka mwisho kuwa tayari kufanya chochote kutetea msimamo wako, kuwa tayari hata kufa ukitetea msimamo wake.
Tundu Lissu na Mbowe nao uwenda wakaja kuwa kwenye kitabu hiki kwa misimamo yao isiyoyumba juu Katiba na haki katika taifa ili.
R.I.P wote, kubali kufa sio kulala!! Happy Nyerere day.
Kama huwezi kusoma between the lines huwezi kujua kama nimejibu swali lako.Hujajibu swali bado, Magufuli alikuwa mbele ya wakati kivipi?
Rudia kusoma uelewa, hizi ngonjera kawaeleze wajinga wenzio wasio elewa kama wewe.Usichokijua ni kuwa uo ni Mkopo kama Mikopo Mingine
Isipokuwa sera za kidunia zinalazimisha mkopo uweoneshe ni namba gani utapambana na korona
Mkopo aliochukua mama hatujalazimishwa wala kuwekewa masharti zaidi tumeweka kipaumbele vyet sisi wenyewe
Mataifa kama uganda na Kenya walilazimishwa kununua chanjo, barakoa nk
Mama kachukua mkopo wa kawaida tuu lakini uliowekwa katika fungu la Korona kwa sera za wakopeshaji