Wanasiasa watano waliokufa kwa kusimamia walichokiamini! R.I.P

Kwani Tundu na Mbowe ni wana siasa ama wapiga kelele tu?
Siasa huwa na kelele mkuu hasa nchi hizi za ulimwengu wa tatu ambao upinzani unachukuliwa kama uadui. Hao hapo wanaswekwa ndani kila siku kwa ajiri ya kufanya siasa hivyo misimamo yao ndo inawacost
 
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana.

Hivi Sokoine alipambana na wahujumu uchumi, au serikali ya kidikteta ndio iliwapa jina la uhujumu uchumi watu waliotafuta mali kwa jasho lao kisa wamekataa kuunga juhudi za sera ya ujamaa na kujitegemea?
 
Huyo babu mtoe hapo co mahala pake, zulma nyingi alifanya hasitahili kuwepo kwenye list mtoe haraka.

Mwinyi hujamweka, why? Tena uyu ni no 1.

Magu mlimsema na kumpinga kwenye utawala wake, and now mnayakumbuka mazuri yake baada ya kufa 😁 ila ninyi hamueleweki mko pande zipi!!!😁

Mama samia naye akictaafu mtamkumbuka, na kumponda ataeingia. Siasa ni mchezo mchafu sana, hujui binadamu anacholalamikia ni nini. Ndiyomaana nimejiweka mbari na siasa.
 

Hapo namba 5 hata uandike mpaka mwisho wa Dunia sikubaliani na wewe hata 0.0000001%.
 
Sasa leo Mzanzibari anakuja kukopa hela za kukabiliana na corona anaenda kujenga madarasa utafikiri corona iliangusha madarasa ama madaraja na corona yenyewe haipo.
Nimeupenda sana huu uchambuzi wako. Corona na ujenzi wa madarasa wapi na wapi?
 
Kumbe Mwinyi Ni marehemu?
 

Huyo #5 1.5tr/- alikuwa na majibu gani?

Huyo #5 kuhusu kina Ben, Mawazo, Azory, Lissu, kina Lijenje na wa kwenye viroba alikuwa na majibu gani?

Huyo #5 miradi ya Chatto alikuwa akiipitisha mwenyewe?

Huyo #5 mikataba ya madege aliwahi kujiweka wazi?

Huyo #5 - yako mengi mkuu.
 

Ongezea na “maendeleo hayana vyama!”
 
Hapana hawasimamii wanachokiamini maana waliamini kuwa fulan ni fisadi lkn baadae wakatoka kwenye reli wenyewe na kusema sio fisadi.
 
Usichokijua ni kuwa uo ni Mkopo kama Mikopo Mingine
Isipokuwa sera za kidunia zinalazimisha mkopo uweoneshe ni namba gani utapambana na korona
Mkopo aliochukua mama hatujalazimishwa wala kuwekewa masharti zaidi tumeweka kipaumbele vyet sisi wenyewe
Mataifa kama uganda na Kenya walilazimishwa kununua chanjo, barakoa nk
Mama kachukua mkopo wa kawaida tuu lakini uliowekwa katika fungu la Korona kwa sera za wakopeshaji
 
Nafikiri hivi vibapunguza credibility yake lait angejiondoa kwenye ukandamizaji nazani angekuwa Rais bora Afrika na Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…