Wanasiasa watano waliokufa kwa kusimamia walichokiamini! R.I.P

Uko biased, unamwacha wapi pro. baregu, ndesamburo,bob makani, seif mtikila nk.
 
I dont know much about Sokoine lakini nasikia alikuwa anamwaga sukari za wafanyabiashara eti magendo, nielimishe alipigana vipi na uhujumu uchumi au kitu gani exactly alifanya tumwone alikuwa mwamba, sio kutulisha madini kumbe patupu
 
Hapana hawasimamii wanachokiamini maana waliamini kuwa fulan ni fisadi lkn baadae wakatoka kwenye reli wenyewe na kusema sio fisadi.
Chifu ujaelewa uzi wangu achana nao

Nimekwambia mwanasiasa lazima awe na Jambo moja analolisimamia kwa ukamilifu hata Kama ana makandokando mengi!!

Nyerere alikuwa na makosa mengi tu
The same kwa Sokoine na Magufuli lakini Kuna baadhi ya Mambo waliyasimamia ipasavyo bila kujali Nini kitatokea kwao.

The same kwa Mbowe na Lissu kwenye swala la justice na construction!!

Kama ujanielewa basi uwezi kuelewa Tena.
 
Namba tano alikuwa kwa laana. Ule uchafuzi kule zanzibar asingedumu
 
Wewe nawe Bora ulijistaafisha tu, tangu umerudi umekuwa mtu wa kuposti pumba tupu humu, Amina Chifupa apambane na wauza madawa wakati mumewe ndiye alikuwa muuzaji bingwa?
Anatufanya wote wajinga humu,yaani Mpakanjia,Mudy Nondo hizi namba zote zilikuwa marafiki wakudumu wauza unga na utapeli wa Magari Jijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujajibu swali bado, Magufuli alikuwa mbele ya wakati kivipi?
 
Siupendi ujamaa. Unalea umasikini kwa hitimisho kuwa kila kitu ni mali ya uma. Binadamu hatufanani mawazo, kwann tufanane umasikini?
 
HAPO KWA MWENDA ZAKE WA CHATO UNGEMTOA HASTAHILI KUWEPO HAPO.
 
Kichwa cha habari utafikiri hao walikufa kwa sababu ya walichokiamini!
 
Wakati ule ulimnanga sana JPM. Ukimuangalia leo kwa angle tofauti, alikuja kwa mission maalumu. Haya aliyotuachia nyuma yetu, yanatukumbusha kuwa kuna wakati, mtu wa haiba ya JPM lazima atokee ili mambo yakae sawa.
Inanikumbusha Man United ya Josee Mourinho na mchezaji wa aina yake, Fellain. It was a match of character, some of us didnt understand
 
nammba tano alisimamia ujinga kujitia ujuaji vitu asivyokua na ujuzi navyo, kazidiwa akili hadi na mwanamke
 
Rudia kusoma uelewa, hizi ngonjera kawaeleze wajinga wenzio wasio elewa kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…