Wanasiasa watano waliokufa kwa kusimamia walichokiamini! R.I.P

Ok mkuu ila kimtazamo wangu naona kuwa mch Mtikila alikuwa na misimamo thabiti zaidi ya baadhi ya uliowaweka hapa. Ila ndo hivyo tena watanzania wengi tushaaminishwa tofauti, kwahiyo mchango na misimamo yake thabiti haiwezi kuonekana. Wanaonekana wale wanaotoa chochote ili waandikwe au kusifiwa na kundi fulani.
 
Mkuu hua naamini kua mpinzani wa kisiasa kwenye nchi za kiafrika hasa chama kikuu cha upinzani ni ushujaa tosha kwani tunajionea wanayopotiaga.

Kwa mimi wanastahili bila kujali haya kwani ni siasa zinahitaji haya ili kuibuka mshindi.
Nyerere alitaka kupinduliwa kwa nini? Hatujuia huenda kuna vile alipindisha mambo. Hayati JKN alikua mjaa utu mnoo ila mkuu wa mkoa yule alipouawa alipitisha hukumu ya kifo kwa muuaji kunyongwa (alishindwa kujihimili kama binadamu), ila mateka wa kivita wa Kagera aliagiza wafanyiwe wema licha ya yale waliyoyasababisha kwa watz.
 
Ukabila utakuangamiza dogo!
 
Kuna yule mbeligiji ume msahau yeye kasimamia kupigwa risasi tu ana subiri 2025 aje na iyo sera tena
 
Msimamo wake juu ya mmewe ndio umenifanya nimuone alisimamia alichokiamini.

We endelea kula na Bibi yako mema ya Nchi kwa kupata buku 7
Huo msimamo uliushuhudia wapi? Au ndiyo kujitungia tungia vitu tu?
 
Nyerere alizingua kutuletea ujamaa ambao ndo unatutesa had leo
 
Umeharibu uzi wako kwa kumuweka Jiwe. Anyway ni mtazamo wangu mimi kama mimi.
Mkuu Mtoa mada kawaorodhesha Wanasiasa waliokuwa na misimamo bila kujali ni ya namna gani. Yawezekana misimamo ile iliwaumiza/iliwaudhi wengine lkn yeye alitetea misimamo yake hadi mauti yanamkuta.
 
Tundu Lissu na Mbowe! Okay Sir God kwa kuwaandalia makazi pembeni ya kiti chako cha enzi.
 
Binadamu kutokuwa na shukrani ni sifa yake. Hizo pesa za corona asingezitumia sehemu zingine bado ungelalamika.

Umesahau kuwa JPM Alichukua pesa za wazungu za corona akazila halafu akitoka mbele ya watu anajikausha kama hakuzichukua!?.

Nani mwenye afadhali yule anayepewa na kuzifanyia mengine au yule anayejifanya hakuzichukua kumbe kazichukua mpaka wazungu wanakuja kumtoa nishai?.
 
JPM alipewa bilioni 14 za msaada za corona akazielekeza kwenye mambo mengine, hakwenda kukopa hela za corona ajengee madarasa, kwani corona ilikua inaangusha madarasa?
 
Unamwache Mchungaji Christopher Mtikila

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika kiutu uzima sana muungwana.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
unaharibu post kuweka jina la Lisu na Mbowe

hao mtawasifia mpate likes za chadema humu

they are liability to the country

nakubali kuwa mashtaka ya mbowe hayana mantiki, lakini mbowe sio msafi, fala, fisadi, linalamba ruzuku
 
Nimeshangaa Mtikila anakosekanaje hapo halafu huyo mropokaji anakuwepo[emoji2369]
 
Kama ipo kwanini basi pesa zilizotolewa ziende kujenga madarasa badala ya kupambana na janga lenyewe??
Mkuu sina muda wa kupoteza kubishana na wewe. Seems like hauna chochote ninachoweza ku gain kutoka kwako.

You are myopic mkuu.
 
Vifo vingine ni vya kipumbavu kama cha namba 5
Bora hata kifo cha Kinjekitile Ngwale angalao aliwaunganisha Wananchi kwenda kuuwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…