Manfried JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 1,288 Reaction score 4,074 Dec 26, 2024 #1 Nchi zilizoendelea huwa zinakuaga na thinkers wao na wanalipwa kwa ajili ya hiyo Kazi. Ni Tanzania pekee utakuta vilaza waliofeli shule na walisoma masomo ya arts ya kukariri ndo wanafanya maamuzi ya nchi This is bullshit Sifikirii watu Leo wanawaza nani bora Kati ya mmoja aliyepa zero form Six 🤔 kidding Mkikaa na hawa mnawaita wabunge kule Dodoma ndo mtaelewa hawa jamaa ni zero kabisa
Nchi zilizoendelea huwa zinakuaga na thinkers wao na wanalipwa kwa ajili ya hiyo Kazi. Ni Tanzania pekee utakuta vilaza waliofeli shule na walisoma masomo ya arts ya kukariri ndo wanafanya maamuzi ya nchi This is bullshit Sifikirii watu Leo wanawaza nani bora Kati ya mmoja aliyepa zero form Six 🤔 kidding Mkikaa na hawa mnawaita wabunge kule Dodoma ndo mtaelewa hawa jamaa ni zero kabisa
P povour3 Senior Member Joined Dec 11, 2019 Posts 177 Reaction score 638 Dec 26, 2024 #2 Wewe uliye soma Ssyansi umegundua nini ?kilicho badilisha au kuleta mageuzi nchini.
M Munch wa annabelletz47 JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 1,885 Reaction score 3,227 Dec 26, 2024 #3 Kiufupi watanzania wenye akili na uwezo mkubwa wa kufikiri, kupanga mipango na kuitekeleza kwa ufanisi na hata kuongea mambo ya maana na uwezo mkubwa wa ushawishi katika watu milioni 60 hatuzidi 3% na wote hatupo kwenye system
Kiufupi watanzania wenye akili na uwezo mkubwa wa kufikiri, kupanga mipango na kuitekeleza kwa ufanisi na hata kuongea mambo ya maana na uwezo mkubwa wa ushawishi katika watu milioni 60 hatuzidi 3% na wote hatupo kwenye system
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 27, 2024 #4 Tank Thinkers mbona tunao... Ila wanakumbana na changamoto za ma God Farther... Cc: Mahondaw