Wanasiasa wazalendo tumewajua uchaguzi huu!

Wanasiasa wazalendo tumewajua uchaguzi huu!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Wanasiasa wazalendo tumewajua uchaguzi huu!

Wale wote wanaofanya vitu bila kijinufaisha wenyewe kama wakina Sugu, Popepole, Dr Gwajima, Lema, Lissu, Heche, Warioba na wengine wengi ambao wanapigania nchi na sio nafasi ndiyo wazalendo wa kweli kwa mawazo yangu.

Lakini wale wote wanaonyanyasa wakiwa mahakimu, polisi wengine, wanajeshi wengine, na wanasiasa ambao wanachagia kupiga vita haki sio wazalendo pamaja na viapo vyao. Vyama shiriki vyote vya upinzani hakuna uzalendo wowote zaidi ya matumbo yao.

Huu ndiyo ukweli. Hatuwezi sasa kudanganywa nani ni Mzalendo na nani anaangalia tumbo tena

Hawa ni majembe na wazalendo wa kweli


View: https://youtu.be/5Q0nQL82YqU?si=mya0WPhGAoSysBM8
 
Back
Top Bottom