and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Wanasiasa wengi kipaumbele chao ni wao na familia/marafiki. Hizo zinazoitwa shida za wananchi ni gia tu ya Kula pesa/kodi za wananchi. Ndo maana Hata SGR ipe miezi 6 chali.
1. Posho/pensheni za wanasiasa ni nono, ajabu.
2. Mishahara yao ni ya juu (bila Kodi).
3. Miradi/tenda kubwa kubwa hupewa wao au washirika wenzao kibiashara.
NB: ewe mwananchi Stuka na chukua hatua binafsi, hakuna wa kukuletea maendeleo binafsi.
****Vijana ingieni kwenye siasa ili nanyi mle mema ya nchi kuliko kubaki kulia lia kuwa ajira hamna.