ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Sitaki nirejee nukuu ya Rage alivotupatia jina letu pendwa.
Sisi wanasimba Leo tumebubujikwa na machozi ya furahia kama Mwashamba kutoka jukwaa la siasa baada ya ushindi fake wa Wallace Karia
Lakini tukumbuke tu huyo tunayedhani atatusaidia haingii uwanjani kumkaba Pacome, Max, Mudathiri, Kouma na wengine, Nina Imani mechi ya ngao ya jamii tutapokea kipigo cha 6 mfululizo kutoka Kwa miamba Yanga
Yanga wapo wanaandaa timu na Jana wamepata mechi ngumu iliyokuwa live,
Wachezaji wa Simba wako Egypt wanatomasana na kuogolea wakija wakapigwa sijui Karia atawasaidia nini?